Wanaume humu mueleweke mnataka nini basi? (Jike shupa)

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Kitambo sijaingia humu kwa sababu tofauti tofauti ikiwemo kukosa simu ya smart amini mmsiamini! (Either way life facks us all sometimes)

At my prime nimekula sana pesa za watu humuuu! Sanaaa! Nishakaa mwaka bila kazi nakula tu pesa za watu humu! (I was young and naivee!)

Now I actually have a life! Nina mishe zangu za kimataifa! I’m always busy always working always making shit happen! Nazurura sanaa nje ya nchi! Hata relation ni long distance zina complications sana!

Nikiwa exile zaidi ya mwaka naweza nikaingia kwa miezi mi 2 mara moja! Dm I kaanza mzuka! Zamani weeee sms kibao! Mpaka mwaka wa exile zikawa zinahesabika! Kuna Senior Memba mmoja hakosi ku nicheki! Wako wengi some how he caught my attention!

At first nikajua ni douoush bag tu! Hana maana wala niniii! Vitoto tu vya humu! They always kiss and tell! Nikawa nam potezea!

Akajiongeza he took a risky and bravery move! Kanitumia picha! Jamaniii jamniii! Kazi moja ya HATARIIIII! Mnajua mimi nikisema kazi ya hatari mjue nimeipitisha kwenye Mizani imeenea! My type of men! Just the way I like!

Niwarudishe nyuma kidogo hatukuwa tumetongozana perse just normal convo tu! Na kutoka kufahamiana for what exactly hata Mimi sijui!

Mi baada ya kuona picha nimefika bei! Na sipendi kujibanaa banana! Maisha mafupi haya! Mwaka Jana Kobe alikuwepo mwaka huu hayupo! Na mi pesa yake bank! Aaaaakhaaaa! Sipendi kujizulumu!

I rose the stakes! Nikamwambia mi nakuja huko ulipo ila let’s put the all the cards on the table! Mi nikija huko naacha issue zangu! SHOW muhimu! Sisi watu wazimaaa! In short show ndo itaguarantee mimi na kukatisha mbugani!

Anaaanza kuwaya waya oooh unjua siwezi kuku afford! Khaaaaa! Nikamwambia msupuuu kama wewe njoo na mashine tu! Hata hotel nitalipia mwenyewe! Kwani shingi ngapi! Ukitaka hata nauli nakupa! Mnielewe navoowaambia kazi imenyookaaa hiii! kama zali tu imeniibukia inbox!

Inshort nime exhaust options zote! Kazi umerudiii nyumaaa kabisaaa! Na mimi sipendi kushindwaaa afu imenikaaa rohoni! Mpaka nambembeleza nimpe pesa hatakiiii! Mind you juzi gum is show tu ndo kumetibua mambo! Mi mtu mzimaaa napenda kunyoosha! Plus Niko busy mnooo kwa cat and mouse games!

Nikasusaaa bado anaendelea kunitafutaaaa! Ila show hataki kutoa! Sijui ndo anataka niwe dada yake! Mxiuuuuu!

NB: Msijichoshe kunitukana shangingi! Maana ni shangingi la kimataifa!
 
Ukiona hivyo jua picha ilikuwa ya ku-edit, mbona simple tuu kujua hilo wala haitumii akili nyingi? Sema nyege zimekuzidi mpaka akili haiko sawa.

In this land some of us fack more than
we die but most of us die
better than we fack.


Unforgetable
Hahaaaaaaaaaa! Nacheka kama mazuri! Picha sio ya kuedit! Si unajua NIDA sahivi wame rahisisha kazi! Alinipa namba nime run background check! He is legit!
Konkiiii nitapeliweeee tenaaaaa!
 
Negativity sio viatu Vyangu mdada..Ra rohoni ni kwamba.
Bring back the show..
Back to back, peoples missed you

Aaaaw! Nina vituuu XXXXXL dear vikubwaaa kuliko! I just busy and worried naweza kuanzia nisimalize! Nataka kuanza utaratibu wa SHORT story! Character mmoja tu! Mwanzo mwisho!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom