Wanaume humu mueleweke mnataka nini basi? (Jike shupa)

Wanaume humu mueleweke mnataka nini basi? (Jike shupa)

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Kitambo sijaingia humu kwa sababu tofauti tofauti ikiwemo kukosa simu ya smart amini mmsiamini! (Either way life facks us all sometimes)

At my prime nimekula sana pesa za watu humuuu! Sanaaa! Nishakaa mwaka bila kazi nakula tu pesa za watu humu! (I was young and naivee!)

Now I actually have a life! Nina mishe zangu za kimataifa! I’m always busy always working always making shit happen! Nazurura sanaa nje ya nchi! Hata relation ni long distance zina complications sana!

Nikiwa exile zaidi ya mwaka naweza nikaingia kwa miezi mi 2 mara moja! Dm I kaanza mzuka! Zamani weeee sms kibao! Mpaka mwaka wa exile zikawa zinahesabika! Kuna Senior Memba mmoja hakosi ku nicheki! Wako wengi some how he caught my attention!

At first nikajua ni douoush bag tu! Hana maana wala niniii! Vitoto tu vya humu! They always kiss and tell! Nikawa nam potezea!

Akajiongeza he took a risky and bravery move! Kanitumia picha! Jamaniii jamniii! Kazi moja ya HATARIIIII! Mnajua mimi nikisema kazi ya hatari mjue nimeipitisha kwenye Mizani imeenea! My type of men! Just the way I like!

Niwarudishe nyuma kidogo hatukuwa tumetongozana perse just normal convo tu! Na kutoka kufahamiana for what exactly hata Mimi sijui!

Mi baada ya kuona picha nimefika bei! Na sipendi kujibanaa banana! Maisha mafupi haya! Mwaka Jana Kobe alikuwepo mwaka huu hayupo! Na mi pesa yake bank! Aaaaakhaaaa! Sipendi kujizulumu!

I rose the stakes! Nikamwambia mi nakuja huko ulipo ila let’s put the all the cards on the table! Mi nikija huko naacha issue zangu! SHOW muhimu! Sisi watu wazimaaa! In short show ndo itaguarantee mimi na kukatisha mbugani!

Anaaanza kuwaya waya oooh unjua siwezi kuku afford! Khaaaaa! Nikamwambia msupuuu kama wewe njoo na mashine tu! Hata hotel nitalipia mwenyewe! Kwani shingi ngapi! Ukitaka hata nauli nakupa! Mnielewe navoowaambia kazi imenyookaaa hiii! kama zali tu imeniibukia inbox!

Inshort nime exhaust options zote! Kazi umerudiii nyumaaa kabisaaa! Na mimi sipendi kushindwaaa afu imenikaaa rohoni! Mpaka nambembeleza nimpe pesa hatakiiii! Mind you juzi gum is show tu ndo kumetibua mambo! Mi mtu mzimaaa napenda kunyoosha! Plus Niko busy mnooo kwa cat and mouse games!

Nikasusaaa bado anaendelea kunitafutaaaa! Ila show hataki kutoa! Sijui ndo anataka niwe dada yake! Mxiuuuuu!

NB: Msijichoshe kunitukana shangingi! Maana ni shangingi la kimataifa!
Game yake ndogo, pumzi zake haziwezi kuzima moto wa kiginga cha moto. Ni kunguru mwoga akwepeshaye bawa lake, kukwepa aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lara aliokoka kuna kipindi jamani wadau mnakumbuka? Time flies... Welcome back mamalao!
 
Sijui hata umeandika nn ... alie elewa atutafsirie wadau ...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
lara 1,
ona sasa ushatuvuruga, nshapata mizuka ya weekend story hapa. Same old Lara, you won't stop bitching the shit out of us, will you? You've been missed banaa
 
Can i try and take his chance? Just thinking out aloud
 
Nenda mtaa wa Congo na Aggrey pale kwenye makutano kama umeshukia upande wa kituo cha daladala za Congo.Kushoto kwako ingia kwenye maduka ya underground utakuta na jeans zote low na high quality.Ukifika jieleze vizur unataka mzigo wa Jumla maana kuna gap kati ya mzigo wa jumla na rejareja.Kila lakheri.
Chimbo la jeans k/koo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda mtaa wa Congo na Aggrey pale kwenye makutano kama umeshukia upande wa kituo cha daladala za Congo.Kushoto kwako ingia kwenye maduka ya underground utakuta na jeans zote low na high quality.Ukifika jieleze vizur unataka mzigo wa Jumla maana kuna gap kati ya mzigo wa jumla na rejareja.Kila lakheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran Sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
af acha ungese!
mxxxxxxiou ndo nini sasa unapotea hivyo.
Fala mmoja wewe!
konyo kila ukipumua!
 
Sasa takataka kama hii nayo inasubiri kuolewa? Yaani jinsi anavyosimulia ni kama janaume vile!
 
Back
Top Bottom