Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,517
- 4,987
Nadhani tatizo ni uaminifu wa cc wanaume, siyo siri hakuna kesi mbaya nilowahi kukutana nayo kama ya mama mmoja ambaye alikuwa mwaminifu katika ndoa na baada ya kupata HG alionekana kuwa mzuri na kadili ck zilivyopita akawa karibu na mumewe kumbe walikuwa wana do. hakuna alojua historia ya yule binti baada ya kumshinda mama aliamua kuwachukuwa watoto wake wadogo watatu na kuanza maisha kivyake bahati nzuri alikuwa na kazi.
Ck nenda rudi yule HG akafariki kwa ngwengwe na walipofuatilia wakagundua kuwa aliwahi kuolewa na mwanajeshi ambaye alifariki kwa ngwengwe. Mume akarudi kwa mkewe bila mafanikio. Badae mama akaamua kwenda angaza only kugundua kuwa amesha nasa. Alikata tamaa na baada ya miezi mume akaaga dunia, sasa yule mama anaishi kwa matumaini na alisema hawezi kamwe kumsamehe mumewe na ndo maana HATAKI KABISA KUSIKIA HABARI ZA WANAUME. Jamani kuweni waaminifu katika ndoa zenu. Kama mkeo hakuridhishi kwanini ucmwambie nina hakiha ukimueleza ck nyingine atajitahidi!