Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FirstLady1, Jan 18, 2011.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Juzi nilikuwa katika semina fupi ya mambo ya ndoa ,kila mwanamke aliyekuwa akisimama ana-complain mahusiano mabaya ya mmewe na H/G
  Mwisho wa mada yetu wakinamama waliokuwepo wakasema wanaamini 95% ya kina baba wanamahusiano na ma H/G

  @ Mama wa kwanza alisimama na kulalamika mie nilishangaa mme wangu alipokinga kifua na kulazimisha msichana wao aongezwe mshahara huku akidai anataka aanze kumsomesha haraka iwezekanavyo na n kitanda kilichopo chumbani kibadilishwe wakati mwanzo mzee alikuwa anamuomba mama amuondoe alipofanya uchunguzi zaidi ndipo bomu lilipolipuka mme ( Mama anakula sahani moja na H/G

  @ Mama wa pili alifuma msg za mmewe kwenye simu ya H/G maana binti alikuwa hajui ku-delete akamrudisha kwao baada ya muda akapokea taarifa binti yuko mjini tena kufanya uchunguzi kumbe mme kampangishia H/G mtaa wa pili baada ya kufukuzwa kwake

  @ Mama wa tatu yeye aliona binti ana mimba alipomuhoji kwanza akamdanganya ni ya kijana House/Boy wa jirani na kwao ..Mama alipomfata H/B kijana akatoboa siri kuwa ni ya mmewe na kumpa evidence ya mmewe ,Binti kuulizwa akakubali huku analia na kuomba samahani

  @Mama wa nne yeye akadai watoto wakitoka kwao wanafundishwa mbinu na wazazi wao kama wakifika wahakikishe wanakuwa na uhusiano na baba mwenye nyumba ili mambo yawe mtelemko katika familia yako na wengine wanasisitizwa wajitahidi kupalilia ili wao wakamate usukani.

  Wazazi tunaelekea wapi hata kutoa ushauri huu kwa watoto wetu?

  Mie Binafsi nashindwa kuelewa kwa nini baadhi ya kina baba mnaamua kuwa na uhusiano na M/G wakati mnajua kabisa kitendo hiki kinamdhalilisha sana Firstlady wako hata kumfanya H/G aanzishe dharau na choko choko ndani ya nyumba???

  I salute!
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  :Cry::Cry:nikimaliza ntaongea..uchungu jaman...
   
 3. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hili ni Janga la kitaifa FL1 ukistaajabu ya musa utaona ya filauni,
  Hapa mtaani kwangu kuna mama kafukuzwa H/G kaolewa Upo hapo?
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ngoja niulize swali kwanini hausi geli akiletwa ndani ya nyumba hata kama mwanaume hana uhusiano nae basi mama mwenye nyumba mwenye nyumba lazima awe na wasiwasi na atahakikisha anam-frustrate huyo HG hadi akome, lakini akiwepo Hausiboi hautaona mwanaume akihangaika nae sijui kuanza kuchunguza kama anatembea na mkewe
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Wanawake mmezidi kero ndio maana matatizo yetu twayamaliza kwa mahausi geli.
  Mkiolewa tu mnatoa makucha yenu yenye ncha kali... Thats a big prob
   
 6. RR

  RR JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Najaribu kukonekti hi thredi na ile ya acid......how to be good partner....
   
 7. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli Egyps-women hili ni janga la kitaifa Mungu atunusuru tu.
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Jana kuna mada ilikuwa inazungumziwa kwenye radio flani juu ya hili ila wao waliuliza kwa nini wamama hawataki mahousegirl wazuni kushinda wao?.........mh kwa kweli kazi tunayo.

  Mi mnantisha mjue!!
   
 9. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wakati mwingine sisi wenyewe kina mama tunachangia sana,mama anashindwa kumwandalia mumewe chakula,kufua na kupiga basi,kusafisha viatu ,kukata kucha,kumuandalia matunda,maji ya kuoga yooooote hayo yanafanywa na msichana sasa hapo kaolewa nani/msichana au huyo mama feki?mwanaume ni kama mtoto utakavyompeti peti pamoja na udhaifu wake lkn bado atakuheshim tu maana ww ni mama yake wapili katika malezi,mwanammke kuanzia j3 mpaka j2 uko busy tu hujui hata mumeo kala nn kashindaje utasema umekuwa dei worker wa daladala?tunajua majukum tuliyonayo ni mengi lkn tunapaswa kuwa na mda na familia zetu jamani tuachane na utandawazi na uzungu mwingi tukumbuke mila zetu na kutunza familia zetu,am out!
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Mpaka tutaojifunza kuishi bila housemaids ndipo tutapomaliza tatizo.

  Mwanamke anaweza kuondoka kikazi wiki nzima akamuacha housemaid na mume. Alitarajia nini?
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Tena wengine wanathubutu hata kusema eti h/g ni poa hana makuu. Jamani wanaume wetu hawa tuwasamehe tu
   
 12. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  TF tatizo linkuja pale HG anakuja hajui kuoga akisha jua tu kupaka sweet heart lotion inakuwa tabu, mwanaume atakuona wewe dekio.
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Rose1980 siku ya semina mie nilibaki mdomo wazi kwa mshangao sikuamini kila mama anayesimama analalamika na ilikuwa ni semina ya kikanisa
  Ok wanaweza sema mambo mengine tunasababisha wenyewe lakini hili napingana nalo
  Heshima kwa mke inasitahili kuwepo palepale no matter hajui kupika mfundishe
  Mvivu -mwelekeze
  N.k N.k
   
 14. s

  seniorita JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Basi labda bora kuajiri houseboys, hao watafanya kazi nzuri ya kuwasononesha akina babaaaaaaa......tit for tat, tooth for tooth....an eye for an eye....
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mwalimu hapa unataka kusemaje?
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  The Finest hii kesi bado sijakumbana nayo lakini kama zitakuwepo itakuwa minor case
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hiyo bado si sababu ya kukufanya wewe uanze kupiga mbizi na H/G
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  juju doesnt lier
  madawa yakiiisha atamtafuta mkewe alipo...u wil c
  ma haus gal nw days wanakuja kwa mishen ya ntoke vp na mdau wa karibu ni ba mwenye nyumba na ivi baba zetu awa (weng wao) wakiona swala kajleta ni aghalabu sana kupindua...tatizo laanzia apo
  ma hasu gal weng wanamadawa/washirikina open yr eyes u wl c t
  mi kwangu stataka haus gal kwa kweli i hd enaf frm em stak kabisaaaaaaaaaaaaa....
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  MJ1 umenikumbusha mama mmoja juzi kaletewa H/G kafungasha kinoma ,Mama kaenda kazini na kuacha maagizo akirudi asimke huyo dada hahaha naona alishindwa kujiamini
   
Loading...