Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu?


Thanx swirry mawazo yako mazuri sana .. sas huyu nanihii mara ooh kitanda ,mara ooh kunyoa ndefu H/G wapi na wapi:love:
 

....Well said Pearl! U deserve ''bonus'' wewe inayofanana na ''POSA'' kama ni mama .... utakuwa bora sana.......!
 
kwa sababu mie ni mzazi najua ugumu wa maisha namlipa vizuri tu na family yake naisaidia ingawa sipendi kuweka wazi hii kitu hapa,Lakini pia hili tatizo halipo kwangu Mwalimu usiwe na hofu ,

Unajua sio hivyo lakini watu wengi hawaichukulii ile Kama kazi.

Wanaona ni kumfanyia favor kumtoa kijijini hivyo kumtuma Kama punda

Wewe ukisema na familia yake unaitizama unaona Kama plus lkn ni kwa kuwa huichukulii Kama ajira.

Mwajiri wako anaitizama/saidia familia yako zaidi ya mshahara?
 

Kila mtu anakuwa na inactive tamaa (hata wewe)Point hapa ni namna hiyo tamaa inavyokuwa activated
Kuna kazi ambazo anaweza kufanya HG na zingine(hasa zinazokuweka karibu na mme wako) HG asiguse kabisa
 
Rose1980 Bikra wanaziondoa wao mapeeeeeeeeeema watazitoa wapi tena???

wao unadhan wanafikiria ilo?
wanachotaka bikra..akumbuk jana aliitoa yeye mwenyewe..
ni km mtoto vle anaenda dukan ..ataka pipi,..akipewa anaimun'gunya yoote then anaanza nataka ela anguuu ..mpe elaaaa angu...ndo km awa kaka zetu..wanafikiria kuanzia 11 lakin hwajui kuna 10 na wenzake uku chn...(weng wao)
 

Name calling had been noted here....
 

mbona i imekaaa ki appeal to person?
 
OOPs itabidi tuanze kufunga na kuomba kabla ya kuleta M/G majumbani kwetu,
Ila ni kweli wanaume wamesema tuna madhaifu na mapungufu kibao
Je hiyo ndio sababu ya wao kuanza kudokoa hapo hapo ndani ya nyumba?


Siyo sababu FL1,ila ujue wanaume wengi wa siku hizi hawaoni mbele ya pua zao,wala hawafikirii,zaidi ni cheap,bado nguvu za giza,bado ushamba na kuiga mambo ya kipuuzi,kupungua kwa hofu ya Mungu,kutofundishwa wakiwa wanaenda jandoni,kupenda sifa za kijinga na makundi mabaya!There is nothing that can justify this behaviour......ila ndo nimesema,lets do our best on our responsibilities as wome/wives,the rest,LET GOD HANDLE THAT.



 

Ticha don't you worry unajua kila mtu anakanuni ya maisha
Binti akinambia anauguliwa kwao na uwezo wa kwao haupo ni wajibu wangu kumsaidia
Mama akipiga simu anaomba hela ya palizi au kilimo kijijini namsaidia kwani hiyo iko kwenye job description yake?
 
Tatizo la house maids ni kubwa mno kuliko tunavyofikiria.

Sasa wanalala na baba wenye nyumba tumeanza kuliona tatizo lakini kuna mambo ya haki zao maids nani anafuatilia?

Ningekushaurini akina dada msome kitabu kimoja kinaitwa "The help" kinaweza wapa muongozo wa the other side of the story.

If you treat your maid and your husband right nafikiri tatizo lingekuwa dogo sana
 

mmh ur so gud
bt haina haja ya kumjibu aya yoote..bt its well n gud
semina ln tena...naitaka sana iyo...ile ya uchumba na ndoa...nataka nijijenge kindoa...
 



amen say t again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…