Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu?

wakati mwingine sisi wenyewe kina mama tunachangia sana,mama anashindwa kumwandalia mumewe chakula,kufua na kupiga basi,kusafisha viatu ,kukata kucha,kumuandalia matunda,maji ya kuoga yooooote hayo yanafanywa na msichana sasa hapo kaolewa nani/msichana au huyo mama feki?mwanaume ni kama mtoto utakavyompeti peti pamoja na udhaifu wake lkn bado atakuheshim tu maana ww ni mama yake wapili katika malezi,mwanammke kuanzia j3 mpaka j2 uko busy tu hujui hata mumeo kala nn kashindaje utasema umekuwa dei worker wa daladala?tunajua majukum tuliyonayo ni mengi lkn tunapaswa kuwa na mda na familia zetu jamani tuachane na utandawazi na uzungu mwingi tukumbuke mila zetu na kutunza familia zetu,am out!

The Following User Say Thank You to Pearl For This Useful Post:

https://www.jamiiforums.com/member.php?u=17682 The Finest (Today)

YOU DEFINITELY NEED A RETREAT FOR THIS USEFUL POST
 
wakati mwingine sisi wenyewe kina mama tunachangia sana,mama anashindwa kumwandalia mumewe chakula,kufua na kupiga basi,kusafisha viatu ,kukata kucha,kumuandalia matunda,maji ya kuoga yooooote hayo yanafanywa na msichana sasa hapo kaolewa nani/msichana au huyo mama feki?mwanaume ni kama mtoto utakavyompeti peti pamoja na udhaifu wake lkn bado atakuheshim tu maana ww ni mama yake wapili katika malezi,mwanammke kuanzia j3 mpaka j2 uko busy tu hujui hata mumeo kala nn kashindaje utasema umekuwa dei worker wa daladala?tunajua majukum tuliyonayo ni mengi lkn tunapaswa kuwa na mda na familia zetu jamani tuachane na utandawazi na uzungu mwingi tukumbuke mila zetu na kutunza familia zetu,am out!

Ni kweli Pearl hata sisi wakati mwingine tunachangakia Lakini je Kama mme umeona mkeo ana mapungufu hayo kwanini msikae chini mkaongea kabla hujaamua kuleta maafa ndani ya nyumba?Kwani kuwa na mahusiano na H/G ndio suluhisho la haya matatizo?
 
Mpaka tutaojifunza kuishi bila housemaids ndipo tutapomaliza tatizo.

Mwanamke anaweza kuondoka kikazi wiki nzima akamuacha housemaid na mume. Alitarajia nini?

Sidhan kama kuishi bila housemaids itakua ni suluhu ya tatizo.......
Pia kuna wengine wanazungumzia uzembe wa mke katika kutekeleza majukumu yao....(hilo nalo halisimami peke yake).
Kinachowafanya waume wawe 'so low' (naamini kutembea na h/g is that low) ni ile hali ya mke kutomweka juu mume wake...naamini kama mke atamjengea imani kwamba yeye sio mtu wa kuweza kujishusha hadi kutembea na h/g, basi mume atapokea heshima hiyo na hawezi kumwangusha mamsapu wake.........
 
Rose1980 siku ya semina mie nilibaki mdomo wazi kwa mshangao sikuamini kila mama anayesimama analalamika na ilikuwa ni semina ya kikanisa
Ok wanaweza sema mambo mengine tunasababisha wenyewe lakini hili napingana nalo
Heshima kwa mke inasitahili kuwepo palepale no matter hajui kupika mfundishe
Mvivu -mwelekeze
N.k N.k
ukikutana na sampo izi basi ujUe uyo si mwanaume bali ni GUME GUME..
dah wanakerea..afu utawaskia apo oooh wanajitakia wenyewe..kujitakia mwenyewe ndo ikufanye utembee na haus gal????sjui kupika yes tiba yake ndo utembee na haus gal?swiiiiiiiiiiiiiiiii watu awa wana drama sana
mi namsubiri wa kwangu nakwambia akiwa wa swaga izi sjui itakuwaje...bora afanyie uko ntachukulia ahh ni wanaume awa lakin ndan mwangu?na haus gal ?ahh apo lazma nimkekete mara ya pili akilala...
 
Sidhan kama kuishi bila housemaids itakua ni suluhu ya tatizo.......
Pia kuna wengine wanazungumzia uzembe wa mke katika kutekeleza majukumu yao....(hilo nalo halisimami peke yake).
Kinachowafanya waume wawe 'so low' (naamini kutembea na h/g is that low) ni ile hali ya mke kutomweka juu mume wake...naamini kama mke atamjengea imani kwamba yeye sio mtu wa kuweza kujishusha hadi kutembea na h/g, basi mume atapokea heshima hiyo na hawezi kumwangusha mamsapu wake.........

kweli lakin....bt still isnt justfaction for ...
 
Mpaka tutaojifunza kuishi bila housemaids ndipo tutapomaliza tatizo.

Mwanamke anaweza kuondoka kikazi wiki nzima akamuacha housemaid na mume. Alitarajia nini?

Nop mwalimu nafikiri ni uzembe tu kumwachia kila kitu afanye house gal what do you expect???
 
Mpaka tutaojifunza kuishi bila housemaids ndipo tutapomaliza tatizo.

Mwanamke anaweza kuondoka kikazi wiki nzima akamuacha housemaid na mume. Alitarajia nini?

Ticha katika mazingira hayo unashauri mama akisafiri kikazi na haousegal nae apewe likizo?
 
Wanawake mmezidi kero ndio maana matatizo yetu twayamaliza kwa mahausi geli.
Mkiolewa tu mnatoa makucha yenu yenye ncha kali... Thats a big prob

acha urongo..sasa ukitembea na haus gal ndo makucha yanaingia ndan?
 
Nop mwalimu nafikiri ni uzembe tu kumwachia kila kitu afanye house gal what do you expect???

na kila kitu akifanya haus boy pia na mimi niende nikalale nae?
kaz zooote zp wakat we waenda job na mimi job?
mbona mi siend kwa haus boy?
mwone vle ...ndo mana haujapona vzur
 
kweli lakin....bt still isnt justfaction for ...

Kama unamfanya aamini yeye ni 'so low' unataka iweje???
BTW: Hope kinachoongelewa hapa sio mwanaume kuteleza....ila ni mwanaume kuteleza na kwa h/g, ambayo inamdhalilisha mke...
 
tujifunze kuishi bila mahousegirl,inawezekana!
coz ukianza kuorodhesha madhara yao ni makubwa kuliko faida zao
mara katembea na mumu,mara mshirikina,mara anachezea watoto na kuwaambukiza magojwa ya ajabu,
bado hajakuibia....aaaghhhhhhhhh
mi naona bora nikomae mwenyewe tu
 
nina hakika ushauri wangu unahitajika katika hii sredi lakini nawahi kikao kidogo, msihuzunike nitalejea. naomba mod wasije wakaipeleka hii sredi kwenye jukwaa la wakubwa sina access ya huko.

asanteni kwa ushirikiano.
klorokwini a.k.a kibaka mzoefu.
 
my dear hupasyi kukumbushwa wajibu wako,kama unajua mda gani uende saloon,nguo gani upangilie kuvaa,perfume gani nzuri upake,chakula gani kitam umekimiss hivyo hivyo unapaswa kumfanyia mumeo,unatakiwa kama mwanamke kuwa na maujanja na ubunifu!kumbuka wanaume wanaojua kujitegemea ni wachache sana as wengi wamekuwa wakilelewa na mama zao,hg so maisha ya kujitegemea kwake si sana,ofcousre kutembea na HG si solution lakini timiza wajibu wako wa kumlea mwenzio na familia kwa ujumla Mungu yupo and if u trust in him kila kifanyikacho kizani kuna siku kitakuwa mwangani just trust in him and do ur pat!

Back
Top Bottom