Wanaume hii tabia ya 'kudanga' kama wanawake mnaitoa wapi?

Wanaume hii tabia ya 'kudanga' kama wanawake mnaitoa wapi?

Hahahaaa. Tunakoelekea watawolewa tu kisa kupenda pesa.

Yaani mwanamama anakwenda kazini kutafuta wao wanabaki kufanya kazi za ndani ikiwemo kupika na kuosha vyombo.
Na usiku kazi kubwa ni kunyonya K
 
Pumbavu kabisaa hii tabia ya 50/50 ndiyo inaharibu vijana wetu tulien muinjoy mnachokitafuta
 
Sasa afukuzie Mdada ambaye anatembea na Mzee sawa Na Babu yake? Bora Kwa jimama ambako anapewa shukrani.
Duuuhhh [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] "Wanaume kama mabinti", Sifa ya mwanaume ni kutafuta na si kutafutiwa.

Anyway haya mambo ni magumu lakini kijana kupenda mteremko ina ukakasi kiasi.
 
Back
Top Bottom