Wanaume hii tabia ya 'kudanga' kama wanawake mnaitoa wapi?

Wanaume hii tabia ya 'kudanga' kama wanawake mnaitoa wapi?

Na wanajua kudanga hao, tunakoelekea wataanza kujipanga mabarabarani wanauza[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tutapigana vikumbo Kwa mwendo huu wa mkuluuu bado miaka mi3 tu
 
Hakuna neno Kudanga msitumie tafsida ni Ukahaba.
Kwahiyo wanaume nao tuwaiteje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]makahaba[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Bora wawe wanajirengesha kwa mimama tatzo hata wakimuona mdada anaejielewa anaanza kumtamani.....nyooo!!!!
Kuna siku nilikuwa saloon fulan inavijana wengi wengi sasa wakawa wanasifiwa kwamba ni mahandsome mie kimya wala sijaongea na mtu nasubiria kushonewa ...... Zamu yangu ikafika nikatoa nywele kijana kuona ni peruvian akaanza kujibebisha mie namcheki tu mara aweke pochi yangu vizur mara aulize kama nasikia njaa aniagizie chipsi nikamjibu hapana moyoni nikasema pole saana kijana wengine hatujui kutoka na watoto nmeshazoea watu loaded mie afu sinaga nyege kabisa watu wasio na pesa !!!!! Nikashonewa nywele yangu huyo nikasepa ........Daah vijana siku hizi wanapenda mteremko saana tafuten size yenu or else mijimama ila sio sisi wadada jamani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]alafu wanaambiana kabisa Kama ssta flani yupo vizur kimaisha wanapanga mashambulizi ya kumdangia [emoji125][emoji125]
 
Vyuma vimekaza [emoji23] [emoji23] [emoji23] usifikirie ni jambo la mchezo
.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]tutakutana uwanja wa fisi Mwaka huu Kama naanza wanaume Wanadanga danga
 
Bora wawe wanajirengesha kwa mimama tatzo hata wakimuona mdada anaejielewa anaanza kumtamani.....nyooo!!!!
Kuna siku nilikuwa saloon fulan inavijana wengi wengi sasa wakawa wanasifiwa kwamba ni mahandsome mie kimya wala sijaongea na mtu nasubiria kushonewa ...... Zamu yangu ikafika nikatoa nywele kijana kuona ni peruvian akaanza kujibebisha mie namcheki tu mara aweke pochi yangu vizur mara aulize kama nasikia njaa aniagizie chipsi nikamjibu hapana moyoni nikasema pole saana kijana wengine hatujui kutoka na watoto nmeshazoea watu loaded mie afu sinaga nyege kabisa watu wasio na pesa !!!!! Nikashonewa nywele yangu huyo nikasepa ........Daah vijana siku hizi wanapenda mteremko saana tafuten size yenu or else mijimama ila sio sisi wadada jamani
Watafute saizi zao wakati hela haipo? Wanabeba mitenki tu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]alafu wanaambiana kabisa Kama ssta flani yupo vizur kimaisha wanapanga mashambulizi ya kumdangia [emoji125][emoji125]

Hahaha hapo wanajidanganya sanaaa....... sisi wenyewe bado hatutaki kulipa bill mwanamme akiwepo hapo sitoi hata kumi afu eti kuna mtu anataka kunidangia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani kitokee kitonga halafu nisislide?
Labda siyo mimi

Habari wana JF?

Tunaunza mwaka vizuri lakini upande wa wanaume naona mmekuja na staili mpya ya kudanga kwa ajili ya kupata kitonga cha maisha.

Hii tabia ya mwanaume kuvizia wamama na wadada wenye pesaa ili muwatongoze na kuwalaghai mnaitoa wapi?

Ninachojua mm wadada ndio wana tabia hiyo ya kudanga kwa Masponsor. Kwahiyo huu Mmaka wanaume na nyinyi mnatafuta Masponsor kama dada zenu wanavyofanya.

Yani wanaume mnakaa kabisa kijiweni kujadili jinsi ya kumdangia mheshimiwa fulani mwanamke kweli vyuma bado vimekaza naona grease haijafanya kazi.

Zamani ukisikia kuna vikao vya Bunge Dodoma utaona wadada wanatoka Dar na mikoani kuja kuwadangia waheshimiwa lakin saivi imekuwa kinyume wanaume ndo wanadanga ili kupata pesa.

Badala ya kuitwa viben 10 mtaitwa viben 5 nawaambia.

Kumbe huwa mnatamani mambo ya kike, naona siku nyingi mlitamani kudanga sasa kutuita wadada tunapenda pesa ndo nini? Wakati na nyinyi mmekuja humo humo tu kwenye kudanga Masponsor.

Mwaka 2018 wanaume hatutaacha kuwaita viben 10 na mjiandae kuchezea makofi (in shilole voice)

Kabisa, ndio maana ya haki sawa kwa wote!
 
Back
Top Bottom