Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,124
- 126,384
Hahaaa. Kweli kabisa ujue.Ndio wanachokitafuta hicho na watakipata
Heri ya Mwaka mpya dear
Na kwako pia my dear. Uko poa?
Hahaaa. Kweli kabisa ujue.Ndio wanachokitafuta hicho na watakipata
Heri ya Mwaka mpya dear
HahahhahahahahHahahahahhaha Mwaka mpya na udangaji Kwa wanaume
Hahaaaa. Hajuagi kukimbia mtu.Hicho ndicho kinachonifanya nimpende huyu bibie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sijambo kabisa Emmy dear[emoji4] [emoji4] [emoji4]Hahaaa. Kweli kabisa ujue.
Na kwako pia my dear. Uko poa?
Sasa afukuzie Mdada ambaye anatembea na Mzee sawa Na Babu yake? Bora Kwa jimama ambako anapewa shukrani.Hakuna cha ubora hapo, Unahangaika kufukuzia jimama umri sawa na mzazi wako kisa pesa!!!!
Wajanja sana mwanzo wataingia na gia ya kukusaidia lakin baadae watakufuja Mali bila huruma hapo umeshamuaminihahaaahhah, mie mwenyewe jana "NIMEDANGWA" nikajikuta nimenunua vinywaji vya Tshs.23,900/= kweli kabisa wanaume acheni "kudanga" hahahahahahahaha.