Wanaume hii tabia ya 'kudanga' kama wanawake mnaitoa wapi?

Wanaume hii tabia ya 'kudanga' kama wanawake mnaitoa wapi?

kuna mwanaume anaesubiri kuhudumiwa na mkewe financially dunia hii!![emoji20][emoji20]

labda kama ni starting point tu ya maisha then baadae asimame kwa miguu yake, sio kusema ategemee miaka yote...i doubt that.
 
Back
Top Bottom