jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,369
Ukishakuwa single maza hela hamna basi stress tupu
Wanaume mmeshachukua tabia za wanawake Mwaka 2018 naona walikuwa wanazitaman kweliHali si shwari juzi binti mdogo miaka kama 19-20 bwana kamtoa Kimanzi chana mpk Mbezi mwisho kamgonga na kamuibia pochi na simu! Dogo ikabidi aangue kilio na aweke wazi alitoka bafuni kunawa akakuta peupe na hakuwa hata na nauli!
Nahisi kama ulivyosema mada haijaleta povu kwa wengiUmeonaee. Ila leo kawakosa kosa kidogo sababu unakuta nyuzi zake ndani ya muda mfupi zina pages za kutosha tu.
aliye nachoKwahiyo nan atakubali kuitwa sponsor Kati ya wanawake na wanaume
hahaaahhah, mie mwenyewe jana "NIMEDANGWA" nikajikuta nimenunua vinywaji vya Tshs.23,900/= kweli kabisa wanaume acheni "kudanga" hahahahahahahaha.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tonatofautiana kidogo!Kumbe mnapenda kudanga
Umeonaeee. Kweli kabisa humu wengi ni watafutaji vibenten ni vichache.Nahisi kama ulivyosema mada haijaleta povu kwa wengi
Wanaume hao wameamua kuja na plan B.Maana kuwaonea wivu tu Bila kuchukua hatua imekuwa kama Dua la kuku........ Kwa hiyo wamejiongezaMbn Na sisi nilikuwa mnatuonea wivu tukidanga na wazeee
Naunga mkono hojaSiku hizi malezi ya watoto wa kiume ni magumu kweli kweli.
Same to you dear.Happy New Year my sis
Yaaani watu wana stress kama nini, na ndo kwaaanza ni miaka mitatu ya jamaa..
Ndio wanachokitafuta hicho na watakipataHahahaaa. Tunakoelekea watawolewa tu kisa kupenda pesa.
Yaani mwanamama anakwenda kazini kutafuta wao wanabaki kufanya kazi za ndani ikiwemo kupika na kuosha vyombo.
Hakuna cha ubora hapo, Unahangaika kufukuzia jimama umri sawa na mzazi wako kisa pesa!!!!Bora ufukuzie jimama kuliko Hawa under 18