Wanaume hii tabia ya 'kudanga' kama wanawake mnaitoa wapi?

Wanaume hii tabia ya 'kudanga' kama wanawake mnaitoa wapi?

Hakuna neno Kudanga msitumie tafsida ni Ukahaba.
 
Bora wawe wanajirengesha kwa mimama tatzo hata wakimuona mdada anaejielewa anaanza kumtamani.....nyooo!!!!
Kuna siku nilikuwa saloon fulan inavijana wengi wengi sasa wakawa wanasifiwa kwamba ni mahandsome mie kimya wala sijaongea na mtu nasubiria kushonewa ...... Zamu yangu ikafika nikatoa nywele kijana kuona ni peruvian akaanza kujibebisha mie namcheki tu mara aweke pochi yangu vizur mara aulize kama nasikia njaa aniagizie chipsi nikamjibu hapana moyoni nikasema pole saana kijana wengine hatujui kutoka na watoto nmeshazoea watu loaded mie afu sinaga nyege kabisa watu wasio na pesa !!!!! Nikashonewa nywele yangu huyo nikasepa ........Daah vijana siku hizi wanapenda mteremko saana tafuten size yenu or else mijimama ila sio sisi wadada jamani
 
Swahiba mwisho wa mwaka 2017 kwangu umekuwa na pilika nyingi sana yote ni kusaka pesa ili nisiwe Ben 10 mjini
Hahahaa. Eti usiwe kibenten lol.

Ila usijali swahiba nimefurahi kukuona na kujua umzima. Salimia wote.

Uwe na jioni njema.
 
Vyuma vimekaza [emoji23] [emoji23] [emoji23] usifikirie ni jambo la mchezo
.
 
Hahahaa. Eti usiwe kibenten lol.

Ila usijali swahiba nimefurahi kukuona na kujua umzima. Salimia wote.

Uwe na jioni njema.
Wanaume wanalaumiwa bure tu swahiba, hao majimama huwa wanajipeleka wenyewe wanasèma kufuatà show za kibabe(kusimàmia kucha)

Nami ni nimefurahi swahiba tupo pamoja
 
Back
Top Bottom