Wanaume hii tabia ya 'kudanga' kama wanawake mnaitoa wapi?

Wanaume hii tabia ya 'kudanga' kama wanawake mnaitoa wapi?

Bora wawe wanajirengesha kwa mimama tatzo hata wakimuona mdada anaejielewa anaanza kumtamani.....nyooo!!!!
Kuna siku nilikuwa saloon fulan inavijana wengi wengi sasa wakawa wanasifiwa kwamba ni mahandsome mie kimya wala sijaongea na mtu nasubiria kushonewa ...... Zamu yangu ikafika nikatoa nywele kijana kuona ni peruvian akaanza kujibebisha mie namcheki tu mara aweke pochi yangu vizur mara aulize kama nasikia njaa aniagizie chipsi nikamjibu hapana moyoni nikasema pole saana kijana wengine hatujui kutoka na watoto nmeshazoea watu loaded mie afu sinaga nyege kabisa watu wasio na pesa !!!!! Nikashonewa nywele yangu huyo nikasepa ........Daah vijana siku hizi wanapenda mteremko saana tafuten size yenu or else mijimama ila sio sisi wadada jamani
Halafu huu utamaduni wa vijana wa kiume kufanya kazi salon za kike umeanzia wapi? Hata kama ni fursa za pesa.

Na kizazi hiki vijana hawana kabisa mpango wala kujisikia fahali kuitwa baba. Wanaona kawaida tu kila siku kuitwa anko(uncle) na watoto wa wenzao. Yaani mwanamke atafutie wanawe alioachiwa na mume baada ya kufarakana au kufariki,halafu anitafutie na mimi kidume!!! Sasa hapo nani KE? Agh......
 
Hahaha hapo wanajidanganya sanaaa....... sisi wenyewe bado hatutaki kulipa bill mwanamme akiwepo hapo sitoi hata kumi afu eti kuna mtu anataka kunidangia [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajikausha kwenye pochi unaweka buku alafu kwenye sidilia unabana 50 yako kimyaa yakitokea majanga inakusaidia
 
Hahaha hapo wanajidanganya sanaaa....... sisi wenyewe bado hatutaki kulipa bill mwanamme akiwepo hapo sitoi hata kumi afu eti kuna mtu anataka kunidangia [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanafanya kwanza feasibility study,hawaendi kichwa kichwa
 
Kwahiyo wanaume nao tuwaiteje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]makahaba[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Wote makahaba tu wanajiuza.

Kudanga ni neno zuri walilolichagua kuficha wanayofanya.
 
DROP UNSUPPORTIVE FRIENDS 2018 DROP UNSUPPORTIVE FRIENDS 2018 DROP UNSUPPORTIVE FRIENDS 2018 DROP UNSUPPORTIVE FRIENDS 2018 DROP UNSUPPORTIVE FRIENDS 2018 DROP UNSUPPORTIVE FRIENDS 2018 DROP UNSUPPORTIVE FRIENDS 2018 DROP UNSUPPORTIVE FRIENDS 2018
 
Mimi kiufupi tuu siwezi kupoteza muda wangu kudet na demu maskin aka njaa Kali.hawa watu wasumbufu sana Mara sijala kwani Mimi hotel?nadet na wanawake wanaojielewa sio dem hata kujinunulia vocha hawezi,
Hahahaa... Umenikumbusha demu flani aliniambia hajala ana njaa.. Kiutani utani nikamuuliza kwani Mimi ni World food program? Aisee nilikula block ya maana hadi Leo..

Na siku ile nilikua na mipesa ningemrushia..
 
Habari wana JF?

Tunaunza mwaka vizuri lakini upande wa wanaume naona mmekuja na staili mpya ya kudanga kwa ajili ya kupata kitonga cha maisha.

Hii tabia ya mwanaume kuvizia wamama na wadada wenye pesaa ili muwatongoze na kuwalaghai mnaitoa wapi?

Ninachojua mm wadada ndio wana tabia hiyo ya kudanga kwa Masponsor. Kwahiyo huu Mmaka wanaume na nyinyi mnatafuta Masponsor kama dada zenu wanavyofanya.

Yani wanaume mnakaa kabisa kijiweni kujadili jinsi ya kumdangia mheshimiwa fulani mwanamke kweli vyuma bado vimekaza naona grease haijafanya kazi.

Zamani ukisikia kuna vikao vya Bunge Dodoma utaona wadada wanatoka Dar na mikoani kuja kuwadangia waheshimiwa lakin saivi imekuwa kinyume wanaume ndo wanadanga ili kupata pesa.

Badala ya kuitwa viben 10 mtaitwa viben 5 nawaambia.

Kumbe huwa mnatamani mambo ya kike, naona siku nyingi mlitamani kudanga sasa kutuita wadada tunapenda pesa ndo nini? Wakati na nyinyi mmekuja humo humo tu kwenye kudanga Masponsor.

Mwaka 2018 wanaume hatutaacha kuwaita viben 10 na mjiandae kuchezea makofi (in shilole voice)
Hao watakuwa wa dar tu! Wa mikoani sisi tunalima msimu huu wa mvua dar hamna mashamba huko . Sasa unafikiri watapata wapi pesa ya kufanyiwa massage,scrub na kuongeza stamina kwa supu ya pweza.
 
Hahahaaa. Tunakoelekea watawolewa tu kisa kupenda pesa.

Yaani mwanamama anakwenda kazini kutafuta wao wanabaki kufanya kazi za ndani ikiwemo kupika na kuosha vyombo.
Mbona sisi makanjibai tunaolewa na wake zetu ndio wanatoa mahari na bado tunaishi tu jamani? Na nyie wanaume wa dar oleweni tu mle mahari hizo.
 
Hao watakuwa wa dar tu! Wa mikoani sisi tunalima msimu huu wa mvua dar hamna mashamba huko . Sasa unafikiri watapata wapi pesa ya kufanyiwa massage,scrub na kuongeza stamina kwa supu ya pweza.
Ulishaona Dar wanaomba Chakula Kwa Rais kuwa Wana Njaa?
 
Habari wana JF?

Tunaunza mwaka vizuri lakini upande wa wanaume naona mmekuja na staili mpya ya kudanga kwa ajili ya kupata kitonga cha maisha.

Hii tabia ya mwanaume kuvizia wamama na wadada wenye pesaa ili muwatongoze na kuwalaghai mnaitoa wapi?

Ninachojua mm wadada ndio wana tabia hiyo ya kudanga kwa Masponsor. Kwahiyo huu Mmaka wanaume na nyinyi mnatafuta Masponsor kama dada zenu wanavyofanya.

Yani wanaume mnakaa kabisa kijiweni kujadili jinsi ya kumdangia mheshimiwa fulani mwanamke kweli vyuma bado vimekaza naona grease haijafanya kazi.

Zamani ukisikia kuna vikao vya Bunge Dodoma utaona wadada wanatoka Dar na mikoani kuja kuwadangia waheshimiwa lakin saivi imekuwa kinyume wanaume ndo wanadanga ili kupata pesa.

Badala ya kuitwa viben 10 mtaitwa viben 5 nawaambia.

Kumbe huwa mnatamani mambo ya kike, naona siku nyingi mlitamani kudanga sasa kutuita wadada tunapenda pesa ndo nini? Wakati na nyinyi mmekuja humo humo tu kwenye kudanga Masponsor.

Mwaka 2018 wanaume hatutaacha kuwaita viben 10 na mjiandae kuchezea makofi (in shilole voice)
Naomba niwe sponsor wako[emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom