Wanaume: hii ni tabia mbaya, na ni uchafu!

hahaha hommie kwa hiyo kapera ruksa kushika mtoto hata kama katoka makaburini? maana ukapera haina maana kua huna mtoto au ??:hippie:
Labda tuiweke hivi. Unapotoka kumega mwanamke asiye mzazi mwenzio uwe unaoga kabla hujarudi kwa mzazi mwenzio na kukakamata kamatesha ulikojifungua na mzazi mwenzio..... Hapo vipi hommie, nimeeleweka sasa?

Namsubiri Gaijin sasa.
 
Mh... Hapa naona wewe acetyl salicylic Acid umeipika kinyama aisee... YOU DIDNT EVEN MINCE A WORD!!!

Kweeli inatia kinyaa aisee

Thanks for saying it like it is!!!

Hehehehehe! Ahsante sana mzee mwenyewe Concentrated Sulphuric Acid!!

The Following User Says Thank You to Acid For This Useful Post:

Asprin (Today)​
 
Labda tuiweke hivi. Unapotoka kumega mwanamke asiye mzazi mwenzio uwe unaoga kabla hujarudi kwa mzazi mwenzio na kukakamata kamatesha ulikojifungua na mzazi mwenzio..... Hapo vipi hommie, nimeeleweka sasa?

Namsubiri Gaijin sasa.

Bado hommie haijakaa vizuri....kama sio mzazi mwenzio hapo hakuna matatizo? maana nisije nikakabeba kamatesha wakati nimetoka ku do the needful oceanic hahahahahaha!!
 
the thing is,
mwanaume afanye afanyavo huko nje...!akirudi home kwa familia ake ajitahidi aoge au akimbilie bafuni then amshike MTOTO!PLEASE JAMANI!

hapa naongelea a combinashion of harufu tatu wakati wa sex
1)sh
2)ku
3)con..

MESOMEKA?

Teamo, sijaelewa hizo harufu tatu wakati wa sex ziandike kwa kirefu basi
 
Huwa inakuwaga hivi:

Umetoka gesti emepigana mibusu na lijitu limetoka kunywa chang'aa. Umenyonja maziwa ya jitu lenye aleji ya kuoga. Umenyonya kikojoleo cha lijitu lenye uhusiano na mende. Unafanya infidelity unamaliza. Unawahi home hujaoga. Unakadaka kamatesha kako unakachum..... yale mauchafu yote unayahamishia kwa kachanga kako. Kuna usalama hapo?

Halafu mnataka scientific proof gani zaidi ya hii?:bored::bored:

.....umesomeka mhishimiwa......! watu wanabisha tu.......!
 
Bado hommie haijakaa vizuri....kama sio mzazi mwenzio hapo hakuna matatizo? maana nisije nikakabeba kamatesha wakati nimetoka ku do the needful oceanic hahahahahaha!!
Kama si mzazi mwenzio hommie? Tafadhali sana oga! UTABEMENDA WATOTO WA WENZIO!!
 
hahahaha Nimekusoma hommie, Teamo alikua anapindishapindisha maneno!! kamata hiyo hapo chini!!
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Kimey (Today​
 
hehehehe!
jaman where the hell is GAIJIN!?
hajaamka eeh!?
 
Teamo unanitaduta?

Asprin Mimi suala langu lilikuwa kwenye harufu na sio germs, virus wala bacteria...... Na ukirudi kwenye posts zangu utakuta nimeeleza kuwa nakubali kuwa tudiwashike watoto wachanga Kama si wasafi

hili la harufu ndo lilonitatiza.....ya kuambiwa kuwa tukubali kuwa HARUFU inatia homa 'mtoto au kuharisha wakati mwengine!

Na kilichonishangaza zaidi ni kuwa HARUFU ya kimada tu ndio Ina madhara......how?
 
have you noted that the thread itself has been twisted?:A S-key:
 
WATOTO wetu leo hii huwa wanakuwa na matatizo kibao kiasi kwamba mtu unachanganyikiwa, lakini ukweli ni kwamba sisi wazazi ndio tunasababisha hali hii.
kwa mila, desturi na tamadunu zetu waafrika, kuna mambo kama hayo ambayo tunaamini kuwa na mchango katika ukuaji wa mtoto japokuwa kisayansi ni ngumu sana kuthibitisha hii.
 
Teamo unanitaduta?

Asprin Mimi suala langu lilikuwa kwenye harufu na sio germs, virus wala bacteria...... Na ukirudi kwenye posts zangu utakuta nimeeleza kuwa nakubali kuwa tudiwashike watoto wachanga Kama si wasafi

hili la harufu ndo lilonitatiza.....ya kuambiwa kuwa tukubali kuwa HARUFU inatia homa 'mtoto au kuharisha wakati mwengine!

Na kilichonishangaza zaidi ni kuwa HARUFU ya kimada tu ndio Ina madhara......how?

Hivi mwalimu, harufu mbaya uliyoikamata kwenye domo la mzinzi mwenzio uliyemla denda wakati hajapiga mswaki wiki mbili haiwezi ambatana na mibakteria? AU harufu mbaya na chafu uliyoitoa kwenye kikojoleo cha mzinzi mwenzio ambaye hajawahi kukiosha tangu alipovunja ungo haiwezi kuambatana na wadudu watakaoweza leta madhara ya kachanga?
 
have you noted that the thread itself has been twisted?:A S-key:
HALAFU NA WEWE.................!
hauna gia nyingine za kumuapproach gaijin zaidi ya hii unayoitumia?
 
Hahaha naona homie...... From harufu to germs na makorokoro yake🙂

Mambo ya kufata mila blindly....
 
Hivi mwalimu, harufu mbaya uliyoikamata kwenye domo la mzinzi mwenzio uliyemla denda wakati hajapiga mswaki wiki mbili haiwezi ambatana na mibakteria? AU harufu mbaya na chafu uliyoitoa kwenye kikojoleo cha mzinzi mwenzio ambaye hajawahi kukiosha tangu alipovunja ungo haiwezi kuambatana na wadudu watakaoweza leta madhara ya kachanga?
UMESIKIKA MKUU!..............

huyu kaizer na gaijin wana ''mission''
 
HALAFU NA WEWE.................!
hauna gia nyingine za kumuapproach gaijin zaidi ya hii unayoitumia?
Hahahahaaaa! Ngoja nikachekee nje.

Unajua kama we ni dereva mzuri, gia za mbele zikigoma unatumia gia ya rivasi. Safari inaendelea.... Utapitia upande upi, hapo akili ya mbayuwayu.....
 
Back
Top Bottom