JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Tena inakuhusu sana.mwanaume gani unasafiri mwaka mzima!!!
J5 njoo nipokee air port narudi my dear.. nimewamiss sana hasa wewe au nije na tren moja kwa moja mpaka ofisini tutoke wote?
Tena inakuhusu sana.mwanaume gani unasafiri mwaka mzima!!!
Alaf upunguze kujipamba! Umenierewaaaa?
weeee huoni vibuti navyowapa hawanichezei mwisho wa siku they loose more than mimi
sasa wewe mwenyewe huchezewi mi ndo ntachezewa??
Mtambuzi siku hizi wanaume si wanataka kulelewa?
bila kujipamba mnashikika???
Tatizo ni moja tu la siku hizi...Wanaume wachache na wa kiume wengi sana...
bila kujipamba mnashikika???
Madame B hahahah duh angekua ni Chimbuvu katoa kauli hii ningepachimba balaa lakini kwa kuwa ni shem wangu wa ukweli Zion Daughter najua hana nia mbaya ni mfano tu ametoaAbee Abee Abee.......... Zion Daughter.......... Ben Saanane hapa hapindui, au unatoa mifano tu.............
Na mimi nimekubali una sura nzito!!ila hiyo hiyo siku hizi ndo the nambari wani!!!Kimbembe Genetics hapo inakuja kuogomba! Mitoto sura nzitooo kama Lara1. Sijui wanawazaga nini? Badala angechukua Beauty Onyiye msafishie damu!!!!!!!!!!
Otai kyanaKyoMuhaya nakubona nogyaa??Hallo hallo!!! Napita mie!!
Otai kyanaKyoMuhaya nakubona nogyaa??
Ihi banzo'oijoku tunyumye kake O'lwokuba twakulondamu bubili bushatu bw'o mgasho! O'wa Mbuzi Mzee, MziziMkavu @lara1 na ta Rutashubanyuma olagyayo ketulamala E'byaitu!
Madame B hahahah duh angekua ni Chimbuvu katoa kauli hii ningepachimba balaa lakini kwa kuwa ni shem wangu wa ukweli Zion Daughter najua hana nia mbaya ni mfano tu ametoa
Madame B tunavyopendana,hatutaki masihara.Mwahh!
Ihi banzo'oijoku tunyumye kake O'lwokuba twakulondamu bubili bushatu bw'o mgasho! O'wa Mbuzi Mzee, MziziMkavu @lara1 na ta Rutashubanyuma olagyayo ketulamala E'byaitu!
......Mwaahh too!!!!!!!!!!!
Ila mie usinipendee sura,........nipendee tabia yangu mpenzi.
hata mie tunavyoppendana Ben Saanane, nadhani hatuna mfanowe.
hahahahahahaha una majungu ww subiri akuchambe ndo utaipata fresh.