Wanaume hawaoi sura tena bali uelewa…!

Wanaume hawaoi sura tena bali uelewa…!

Lakini leo hii, wanaume wanachoweza kufanya ni kuwachezea kimapenzi wanawake wazuri na siyo kuwaoa. Linapokuja suala la kuoa, kisomo na uwezo wa kuyajua maisha huchukua nafasi. Uzuri wa sura hubaki nyuma kwanza.

Copy to: Nivea, Madame B, Asnam, Smile, Lisa, lara 1, farkhina, Purple, Mrembo by Nature, Jeska, vivian, Paloma, amu, marejesho, Preta, Nyamayao, florence, Kaunga, mwaJ, Swts

Mtambuzi unajua nimeisoma hiyo mada yako...........Lakini nilipofika hapo kwenye Red,Nimechoka Roho na Akili.
Hivi kama kweli mwanaume anajua kuwa anihitaji kwa nini anitumie na kisha aniache???????
Hivi hakuna Mahakama za Unyanyasaji wa Kumapenzi jamani????
Ila hapo kwa Blue............labda si kwa hawa wanaume nyie wa Mjini.
Mtaweka vigezo vyoooooote....lakini huwezi kuoa mwanamke mbaya.....huko ni kujidanganya.
CC: Jiwe Linaloishi, Asprin na Arushaone................nyie wake zenu hapa wameingia kwenye sifa zipi kati alizotaja Mtambuzi?
 
Last edited by a moderator:

Mimi ni jaji katika mahakama ya unyanyasaji wa kumapenzi.
 
Tafiti nyingi, ukiwemo huo wa karibuni wa Chuo cha Grand Valley, zinaonesha kwamba, kwenye miaka hadi 1980, wanaume walikuwa wakioa wake ambao wanaume hao wanawazidi kielimu na hata kimapato. Lakini kufikia mwaka 2002, wanaume wengi walikuwa wameoa wanawake ambao wanawazidi kielimu, kimapato au kukaribiana.

Huu utafiti kama vile uko biased. Haukutilia maanani kuwa kwenye miaka 1980, wanawake wachache walikuwa wameenda shule na ndiyo maana wanaume walikuwa wanaoa wanawake wengi ambao hawajapanda vidato. Hata hivyo, je, hao wanawake wachache waliokuwa wameenda shule miaka ya 1980 walikuwa hawaolewi? Walikuwa siyo wazuri?

Utafiti kama vile umesahau kuwa miaka ya hivi karibuni wanawake wengi wameelimika kwa kwenda shule, wengine wamekuwa wajarisimali kulinganisha na huko nyuma, n.k.

Siku hizi hasa kwenye nchi zilizoendelea ni kawaida kabisa kukuta darasa la chuo kikuu likiwa na wasichana wengi kuliko wanaume. Wanawake wengi wanagraduate from universities, tena wengi wao wakiwa na alama za juu na kuchukua nafasi za juu za kazi.

Habari kama hizi The gender gap at universities: where are all the men? | Education | guardian.co.uk na hii BBC News - Majority of young women in university zinaonyesha wazi kuwa wanawake wengi wanaenda mpaka vyuo vikuu kulinganisha na wanaume.

Matokeo yake ni kwamba kwenye soko kunakuwa na wanawake wengi zaidi ambao wameenda shule na hao ndiyo wanaoolewa na wanaume.

Halafu swali la kizushi. Hivi wanawake ambao wamepanda vidato siyo wazuri kama wale ambao hawajapanda vidato? Mwanaume hawezi kumwoa mwanamke mzuri na aliyeenda shule?
 
Mtambuzi unajua nimeisoma hiyo mada yako...........Lakini nilipofika hapo kwenye Red,Nimechoka Roho na Akili.
Hivi kama kweli mwanaume anajua kuwa anihitaji kwa nini anitumie na kisha aniache???????
Hivi hakuna Mahakama za Unyanyasaji wa Kumapenzi jamani????
Ila hapo kwa Blue............labda si kwa hawa wanaume nyie wa Mjini.
Mtaweka vigezo vyoooooote....lakini huwezi kuoa mwanamke mbaya.....huko ni kujidanganya.
CC: Jiwe Linaloishi, Asprin na Arushaone................nyie wake zenu hapa wameingia kwenye sifa zipi kati alizotaja Mtambuzi?

mi niliangalia tabia, sura, umbo, elimu nikaridhika nikafanya intagration ikakubali hewalaaa tukaenda kujita pingu.
wanaume tunapenda vigezo vingi ila ni vigumu sana kupata mwanamke mwenye vigezo vyote tunavyovitaka,
 
kweli lakini loo utakuta ana mchumba very beautiful ila anamwaga anakuja kuoa kituko
na yule beautiful onyinye anabaki anatangatanga
Uchunguzi huu ni kweli kabisa!!!!Kuna couples unaziangalia unajiuliza Nini kiliwaunganisha!!!!Siku hizi Brain kwanza maubeautiful baadae!!!!!!!
 
Madame B kwa nini unasema unachezewa mi naukataa huo msemo mwendo kuchezeana kwani alikulazimisha????
unanichezea nakuchezea
so tunachezeana
 
Last edited by a moderator:
Uchunguzi huu ni kweli kabisa!!!!Kuna couples unaziangalia unajiuliza Nini kiliwaunganisha!!!!Siku hizi Brain kwanza maubeautiful baadae!!!!!!!

angalia chereko chereko tbc 1 uone mabiharusi wakojeeee
 
Madame B kwa nini unasema unachezewa mi naukataa huo msemo mwendo kuchezeana kwani alikulazimisha????
unanichezea nakuchezea
so tunachezeana

Yaani hapa nilipitiwa tu...........
Si unajua nina hasira na hawa viumbe wanaoitwa wanaume???
Nia yangu niseme kwa nini wanawachezea nyie.........mie nshajitoa....lolz.
 
mi niliangalia tabia, sura, umbo, elimu nikaridhika nikafanya intagration ikakubali hewalaaa tukaenda kujita pingu.
wanaume tunapenda vigezo vingi ila ni vigumu sana kupata mwanamke mwenye vigezo vyote tunavyovitaka,

Tunarudi kule kule kulikoungua Shoka ukabaki Mpini
 
Yaani hapa nilipitiwa tu...........
Si unajua nina hasira na hawa viumbe wanaoitwa wanaume???
Nia yangu niseme kwa nini wanawachezea nyie.........mie nshajitoa....lolz.

weeee huoni vibuti navyowapa hawanichezei mwisho wa siku they loose more than mimi
sasa wewe mwenyewe huchezewi mi ndo ntachezewa??
 
Aaaaaaaaah wapi! Inategemea na level ya uchumi ya huyo mwanaume!

1. Maskini na Malofa mjini hapa awajue nani ndo wanaoa uelewa na hawajali sura out of insecurity ya kuwaza nikifilisika atanikimbia, watanigongea Vicious cycle of Poverty tu inawasumbua.

2.Maskini wasomi wale white collar jobs, na 9-5 hour clock life wanaoa shule na kazi za wife to be, sura sio ishu. Woga tu wa kugeuka Malofa mjini hapa afu ukizingatia wamesoma ni balaa mara 3

3.Matajiri shule less a.k.a Ma Lodi wa Kitumbini na Kkoo laki si pesa millioni deni, mjini mipango shule viboko tu. Hawa wanaoa Vitu vya ukweeee ila shurti visiwe na shule kabisaaaa. Mambo ya mzungu yes yes kalamba makamasi hawayatki kabisaaaa. Ila Mkewe wanataka awe Muke ya Bosi wowowo la haja, na wanapenda zaidi shombe shombe a.k.a Udongo wa Dubai!

4. Big Boys Doin Big Thins in Town. A.k.a Nshomile kashika hela. Wale wenye makampuni yao na shule zao za Haverd nini, Cambridge sijui. Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Hapo inabidi Mdada awe Kisu cha hatari Sura sura kweli na shepu shepu la show stoppin na Masters tano tano. Sio mutu ya mchezo. Anataka ile akisema this is my wife iwe = F. You all!!! Hakuna anaebisha! Na hawaoi hadi wagonge 40. Mpambano wa kugombea ndoa unamuacha Baby dady wa wadada kibao! Kuna mmoja nilimuweka kwenye kumi na nane zangu Mkinga yule ila kina kirefu nimechemkaaaa! Nimejiweka pembeni kuepusha msongamano.

So transition ya kiuchumi baada ya ndoa ndo zinaleta mtafutano coz mtu anaanza ile kukuona sio size yake flani. He could have done better than you!!!!!!!!!

Na wanawake nao wana grade zao, ila kwa leo tuishie hizi za wanaume.

teh.! Wewe kwangu huwa ni jibu tosha. Nukta
 
Alaf upunguze kujipamba! Umenierewaaaa?
aisee napiga mzigo tena masaa 24 na kujipamba juu
kujiachia juu kuchat juu ha ha bibie kitu cha max hakikai usoni nini???
mwanamke kujipamba na kujipambua
 
Bora wewe umelion hilo!

Madame B kwa nini unasema unachezewa mi naukataa huo msemo mwendo kuchezeana kwani alikulazimisha????
unanichezea nakuchezea
so tunachezeana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom