Mtambuzi unajua nimeisoma hiyo mada yako...........Lakini nilipofika hapo kwenye Red,Nimechoka Roho na Akili.
Hivi kama kweli mwanaume anajua kuwa anihitaji kwa nini anitumie na kisha aniache???????
Hivi hakuna Mahakama za Unyanyasaji wa Kumapenzi jamani????
Ila hapo kwa Blue............labda si kwa hawa wanaume nyie wa Mjini.
Mtaweka vigezo vyoooooote....lakini huwezi kuoa mwanamke mbaya.....huko ni kujidanganya.
CC:
Jiwe Linaloishi,
Asprin na
Arushaone................nyie wake zenu hapa wameingia kwenye sifa zipi kati alizotaja
Mtambuzi?