Wanaume hawaoi sura tena bali uelewa…!

Wanaume hawaoi sura tena bali uelewa…!

mhm hapo hawanidanganyi mie naoa mwanamke mzuri nifurahi na roho yangu bwana
 
kweli shost kuna aunt yangu anapenda kunitania navaa kama mgambo hata wanta sipaki,wakati ye mtu mzima ana mavipodozi ya kila aina,anyway ntaanza soon lakini nahofia kuwa kama mdoli maana mmmmmh

anza utanipa matokeo
tena hakikisha mtu wa kubadilika lro dera kesho mini kesho kutwa tight ntondogoo charanga wiki ijayo gauni refu
siku unajikwatua mpaka watu
wanakusahau
 
Kwa utafiti wangu mdogo,wanaume wengi waliooa kwa kuweka vigezo vya elimu,hela na mavigezo mengine bila kujali uzuri wengi wao ndio wanaangaika na vichenchedee vya nje ya ndoa

Waliojaribu kubalance wamesettle coz they are satisfied na wana confidence na choice zao plus confortability cha msingi miliki kitu kinachoendana na wewe inside and outside kwasababu vyote vina nafasi ya kubuild/kudestroy hisia zako
 
Lakini leo hii, wanaume wanachoweza kufanya ni kuwachezea kimapenzi wanawake wazuri na siyo kuwaoa. Linapokuja suala la kuoa, kisomo na uwezo wa kuyajua maisha huchukua nafasi. Uzuri wa sura hubaki nyuma kwanza.

Kisomo kwangu hakina uzito. Suala muhimu ni kuwa "can we get along?" jibu kama ni ndiyo mengineyo hufuata kuangaliwa kwa uzito wake. Kama ana kisomo na mzuri lakini naona hatutaelewana sasa hizo badala ya kumjenga huzitumia kumbomoa na kumtupia virago vyake.................lakini siyo kwa ubaya ni kwa kuwa "kheri nusu ya shari kuliko shari kamili."
 
anza utanipa matokeo
tena hakikisha mtu wa kubadilika lro dera kesho mini kesho kutwa tight ntondogoo charanga wiki ijayo gauni refu
siku unajikwatua mpaka watu
wanakusahau

hahahahaha mwili wa skintyt unatoka wapi shost labda dera,mini na charanga hizo tyt nawaachia wenyewe.
 
sura ni kama maji ya moto. in time yanapoa what remains ndio tofauti ya 'Mrs Right' na 'Mrs Tonight'

nbionavyo ni vyema usimguse mtoto wa watu kama malengo yako ni just for the night
 
aaa wapi..haujapitwa na wakati..Hakunaga jambo jipya chini ya mbingu..Hata haya unayoyaona mapyaaa.yalikuwepo zamani ila yanajirudia tu...
Ndio maana kila mtu ana type yako..mfanoNicas Mtei anampenda Madame B lakn Ben Saanane anasema nicas nae mshamba mwanamke gani yule.Na yeye anasema nikimpata Paloma bhaaas wakati Bishanga anasema Paloma ???!what the heck?!!

Abee Abee Abee.......... Zion Daughter.......... Ben Saanane hapa hapindui, au unatoa mifano tu.............
 
Kimbembe Genetics hapo inakuja kuogomba! Mitoto sura nzitooo kama Lara1. Sijui wanawazaga nini? Badala angechukua Beauty Onyiye msafishie damu!!!!!!!!!!

Unaweza ukaoa beauty onyiny lkn haptish genes stil watt wakawa sura nzito,ukabak na stress(km hujiamin na unawivu) km shuleless ukabak na mzgo!
 
sura ni kama maji ya moto. in time yanapoa what remains ndio tofauti ya 'Mrs Right' na 'Mrs Tonight'

nionavyo ni vyema usimguse mtoto wa watu kama malengo yako ni just for the night.
 
Back
Top Bottom