Wanaume hawaoi sura tena bali uelewa…!

Wanaume hawaoi sura tena bali uelewa…!

Aaaaaaaaah wapi! Inategemea na level ya uchumi ya huyo mwanaume!

1. Maskini na Malofa mjini hapa awajue nani ndo wanaoa uelewa na hawajali sura out of insecurity ya kuwaza nikifilisika atanikimbia, watanigongea Vicious cycle of Poverty tu inawasumbua.
=Sasa lara 1, mtu tayari ni masikini, ataogopaje kufilisika...?

2.Maskini wasomi wale white collar jobs, na 9-5 hour clock life wanaoa shule na kazi za wife to be, sura sio ishu. Woga tu wa kugeuka Malofa mjini hapa afu ukizingatia wamesoma ni balaa mara 3

3.Matajiri shule less a.k.a Ma Lodi wa Kitumbini na Kkoo laki si pesa millioni deni, mjini mipango shule viboko tu. Hawa wanaoa Vitu vya ukweeee ila shurti visiwe na shule kabisaaaa. Mambo ya mzungu yes yes kalamba makamasi hawayatki kabisaaaa. Ila Mkewe wanataka awe Muke ya Bosi wowowo la haja, na wanapenda zaidi shombe shombe a.k.a Udongo wa Dubai!
=Hawa mara nyingi wanaweka kinyumba kwani wanaogopa kuchukua jumla kwa kudhani wakifilisika watakimbiwa, huchukua muda mrefu kufanya maamuzi kwamba aowe au asiowe

4. Big Boys Doin Big Thins in Town. A.k.a Nshomile kashika hela. Wale wenye makampuni yao na shule zao za Haverd nini, Cambridge sijui. Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Hapo inabidi Mdada awe Kisu cha hatari Sura sura kweli na shepu shepu la show stoppin na Masters tano tano. Sio mutu ya mchezo. Anataka ile akisema this is my wife iwe = F. You all!!! Hakuna anaebisha! Na hawaoi hadi wagonge 40. Mpambano wa kugombea ndoa unamuacha Baby dady wa wadada kibao! Kuna mmoja nilimuweka kwenye kumi na nane zangu Mkinga yule ila kina kirefu nimechemkaaaa! Nimejiweka pembeni kuepusha msongamano.
=Hawa nao ingawa huchukua muda kufanya maamuzi ya kuoa, lakini hufanya majaribio kadhaa ya kuwakweka wanawake kinyumba kabla ya kufanya maamuzi mara nyingi kwa sababu ya kuchagua chagua huishia kujitwika yule anayeonekana kuwa ni mtaftaji na mwelewa katika maisha, wauza sura walie tu kwa hwa jamaa..

So transition ya kiuchumi baada ya ndoa ndo zinaleta mtafutano coz mtu anaanza ile kukuona sio size yake flani. He could have done better than you!!!!!!!!!

Na wanawake nao wana grade zao, ila kwa leo tuishie hizi za wanaume.
lara 1, nimejaribu kujibu hoja zako hapo kwenye rangi nyekundu...
Kama hoja yako ni ya mwanaume kula bata tu, nakubaliana na wewe lakini kama ni kuhusu kuoa jumla, dada yangu sura pekee haina mashiko, elimu, uelewa katika maisha na uchapa kazi pekee ndio vitamtoa mwanamke na kuonekana wife material lakini sura pekee na ubishoo wa kutaka kuvuna usichopanda wanaume hawataki siku hizi, lazima mwanamke aonyeshe kuwajibika bila kujali sura, umbo na mvuto alio nao kwa wanaume......
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi ndoa ni zaidi ya 'expression of love' ni taasisi ambayo iko kiuchumi zaidi, hivyo badala ya kuangalia mwanamke mzuri ambaye baada ya kumzoea ataanza kuonekana wa kawaida, na vilevile akivuka umri wa miaka 35-40 na kama amezaa uzuri wake hautakuwa kama hapo kabla ataanza kuonekana mzee, ingawa kuna baadhi 28yrs wanakuwa 'wameshazeeka' kulingana na jinsi wanavyojitunza. Hivyo katika kuoa katika zama hizi ni vizuri kuangalia mwanamke ambaye atakuwa na msaada kwa familia hata akiwa na miaka 50, 60, 70 na kuendelea, sio tu kuangalia mwanamke ambaye atakuwa pambo la nyumba kwa miaka 5-10 kisha akachuja.
 
Beauty is in the eyes of beholder..Ukisema mbaya mwingine ndio amemzimia..Na Kitu kingine watu huwa wana sehemu maalumu wanapenda hasa wanaume..Mtu anaweza kuangalia makalio tu au akampendea mwanya na mengine asiangalie..
Huu msemo umeshapitwa na wakati na wewe, bado tu uko karne ya 17...?

"Kuna msemo kwamba uzuri huwa uko kwenye jicho la mtazamaji, sio kwa yule au kile kinachotazamwa. Bila shaka msemo huo una ukweli kidogo. Kwa nini? Kwa sababu watafiti wengi wa masuala ya saikolojia ya upendo wana ugunduzi tofauti. wamebaini kwamba, kunakuwa na makubaliano, yasiyo rasmi katika jamii kuhusu uso mzuri au mbaya. Ina maana kwamba, pamoja na kuwa, kila mtu ana namna yake ya kupima uzuri wa sura, bado kuna ule uzuri unaopangwa na jamii. Taarifa mbalimbali za utafiti, ukiwemo utafiti uliofanywa na jarida la Experimental Psychology; Human Perception and performance,zinaonesha kwamba, msemo huo wa zamani una nguvu yake, lakini siyo kwa asilimia mia moja."

Hebu soma huu uzi niliowahi kuuweka hapa wakati fulani-

https://www.jamiiforums.com/mahusia...uri-kwa-vigezo-gani%85%85%85%85%85%85%85.html
 
Angalau sasa wanadamu wanakaribia kuyafikia malengo ya maumbile!
 
Siku hizi ndoa ni zaidi ya 'expression of love' ni taasisi ambayo iko kiuchumi zaidi, hivyo badala ya kuangalia mwanamke mzuri ambaye baada ya kumzoea ataanza kuonekana wa kawaida, na vilevile akivuka umri wa miaka 35-40 na kama amezaa uzuri wake hautakuwa kama hapo kabla ataanza kuonekana mzee, ingawa kuna baadhi 28yrs wanakuwa 'wameshazeeka' kulingana na jinsi wanavyojitunza. Hivyo katika kuoa katika zama hizi ni vizuri kuangalia mwanamke ambaye atakuwa na msaada kwa familia hata akiwa na miaka 50, 60, 70 na kuendelea, sio tu kuangalia mwanamke ambaye atakuwa pambo la nyumba kwa miaka 5-10 kisha akachuja.

Mkuu unachosema ni kweli, ndoa nyingi ambazo zinahusisha uzuri wa mke kwa maana ya mume kumchagua mwanamke kwa sbabu ya uzuri wake wa nje na si wa ndani mara nyingi hufa kifo kibaya sana baada ya mke kuchuja, kwani alichompendea mwanamke huyo hakipo tena sasa upendo utoke wapi?
Mara nyingi sana ndoa zinazowaunganisha wanandoa kwa sifa za ndani hazichuji kwa sababu sifa zan ndani si rahisi kuchuja, labda mtu abadilike au labda kama alijivisha sifa hizo ili kumvutia mwanaume ili aolewe.
Kwa kifupi ni kwamba nilichoeleza ndio ukweli wenyewe, mwanamke pasipo kuwajibika hakuna ndoa, bali kuchezewa na mara nyingi wanwake wanaosifiwa kuwa nwana sura nzuri hawataki purukushani wanapenda kukaa na kuletewa kila kitu ili watunze uzuri wao, wakati wale wanasemwa kwamba wana sura ngumu hawana muda huo, kwao ni kazi kwa kwenda mbele hawana muda wa kujipamba na lebasi za ulimbwende....
 
mhm hapo hawanidanganyi mie naoa mwanamke mzuri nifurahi na roho yangu bwana
 
shurtii unamtuma kila mara ili ulione wezere likitingisha
akigeuza uso hoi ukitoka ofcn na mastress ukiona uso umetulia unasahau yote
siyo ukifika unakutana na sura ngumuuu ha ha unailinganisha na ya boss wako aliyekuzingua.
ila wengine wanasemaga wanawke wao sura mbayaaaaaa kitandani wanakata sura wanabandika yaklyn
kama hana shape napo hivyo wanabandika ya mdada mwenye jishepu lake
 
Huu msemo umeshapitwa na wakati na wewe, bado tu uko karne ya 17...?

"Kuna msemo kwamba uzuri huwa uko kwenye jicho la mtazamaji, sio kwa yule au kile kinachotazamwa. Bila shaka msemo huo una ukweli kidogo. Kwa nini? Kwa sababu watafiti wengi wa masuala ya saikolojia ya upendo wana ugunduzi tofauti. wamebaini kwamba, kunakuwa na makubaliano, yasiyo rasmi katika jamii kuhusu uso mzuri au mbaya. Ina maana kwamba, pamoja na kuwa, kila mtu ana namna yake ya kupima uzuri wa sura, bado kuna ule uzuri unaopangwa na jamii. Taarifa mbalimbali za utafiti, ukiwemo utafiti uliofanywa na jarida la Experimental Psychology; Human Perception and performance,zinaonesha kwamba, msemo huo wa zamani una nguvu yake, lakini siyo kwa asilimia mia moja."

Hebu soma huu uzi niliowahi kuuweka hapa wakati fulani-

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/183631-eti-binti-huyu-ni-mzuri-kwa-vigezo-gani%85%85%85%85%85%85%85.html
aaa wapi..haujapitwa na wakati..Hakunaga jambo jipya chini ya mbingu..Hata haya unayoyaona mapyaaa.yalikuwepo zamani ila yanajirudia tu...
Ndio maana kila mtu ana type yako..mfano Nicas Mtei anampenda Madame B lakn Ben Saanane anasema nicas nae mshamba mwanamke gani yule.Na yeye anasema nikimpata Paloma bhaaas wakati Bishanga anasema Paloma ???!what the heck?!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unachosema ni kweli, ndoa nyingi ambazo zinahusisha uzuri wa mke kwa maana ya mume kumchagua mwanamke kwa sbabu ya uzuri wake wa nje na si wa ndani mara nyingi hufa kifo kibaya sana baada ya mke kuchuja, kwani alichompendea mwanamke huyo hakipo tena sasa upendo utoke wapi?
Mara nyingi sana ndoa zinazowaunganisha wanandoa kwa sifa za ndani hazichuji kwa sababu sifa zan ndani si rahisi kuchuja, labda mtu abadilike au labda kama alijivisha sifa hizo ili kumvutia mwanaume ili aolewe.
Kwa kifupi ni kwamba nilichoeleza ndio ukweli wenyewe, mwanamke pasipo kuwajibika hakuna ndoa, bali kuchezewa na mara nyingi wanwake wanaosifiwa kuwa nwana sura nzuri hawataki purukushani wanapenda kukaa na kuletewa kila kitu ili watunze uzuri wao, wakati wale wanasemwa kwamba wana sura ngumu hawana muda huo, kwao ni kazi kwa kwenda mbele hawana muda wa kujipamba na lebasi za ulimbwende....

kama mimi sina muda wa kujipamba,kwangu kazi kwa kwenda mbele.
 
aaa wapi..haujapitwa na wakati..Hakunaga jambo jipya chini ya mbingu..Hata haya unayoyaona mapyaaa.yalikuwepo zamani ila yanajirudia tu...
Ndio maana kila mtu ana type yako..mfano Nicas Mtei anampenda Madame B lakn Ben Saanane anasema nicas nae mshamba mwanamke gani yule.Na yeye anasema nikimpata Paloma bhaaas wakati Bishanga anasema Paloma ???!what the heck?!!

mimi nakupenda wewe... Tena nakupenda sana
 
kama mimi sina muda wa kujipamba,kwangu kazi kwa kwenda mbele.

aisee napiga mzigo tena masaa 24 na kujipamba juu
kujiachia juu kuchat juu ha ha bibie kitu cha max hakikai usoni nini???
mwanamke kujipamba na kujipambua
 
ndio maana KakaKiiza anakupenda
 
Last edited by a moderator:
aisee napiga mzigo tena masaa 24 na kujipamba juu
kujiachia juu kuchat juu ha ha bibie kitu cha max hakikai usoni nini???
mwanamke kujipamba na kujipambua

kweli shost kuna aunt yangu anapenda kunitania navaa kama mgambo hata wanja sipaki,wakati ye mtu mzima ana mavipodozi ya kila aina,anyway ntaanza soon lakini nahofia kuwa kama mdoli maana mmmmmh
 
Back
Top Bottom