Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Tatizo ameyumba, yuko deep kuliko Scania iliopotelea Wami! Ila atajiongeza tu with time...lazma kiwake!
Now nimepunguza mawasiliano labda anitafute yeye, pia akihitaji tuonane naweka sababu za uongo na kwel mradi tu ,tusionane.ni mwezi sasa
 
Wanawake wa aina yako ndio mnaosababisha wanawake wengine waonekane vibaya mbele ya jamii.Wanawake mnaowela mbele maslahi ya pesa kuliko utu.Mapenzi yako kwake hayakuwa ya kweli bali yaliangalia pesa na huduma jambo ambalo si sahihi.Pia inawezekana akahudumia vyema watoto lakini bado ukaona wewe unastahili kuhudumiwa,Jambo ambalo ni ubinafsi wa hali ya juu.Unampenda yeye kama alivyo au unapenda huduma? Na hiyo huduma ni kwako au kwa watoto? Je wewe haustahili kutoa huduma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah huyo mke akihusika kuhdumia na watoto wataitwa kwa ubini wa kwao au kwenu?

Nyie ndo mnao dai 50/50 mue mnapanda kwenye majukwaa yao muwasaidie kupiga kelele na likizo za mimba muombe wote.

Msigome tu kuwahudumia mukubali na majukumu yao kuyabeba.
 
Huyo akikuita ooh nina hamu na wewe, mwambie tusubiri ndoa huu sio wakati wake, nikiwa mkeo utapata kila utakapohitaji.... Utakuwa umemaliza kazi
Wewe ndo umetoa ushauli muruaa sasa hapati shid kudanganya awe mkweli tu.
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.

Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
na bado unaendelea unampatia kila kitu anacho hitaji kutoka kwako?
 
Muonyeshe huu uzi wako. Mwambie umeukta huku na ukaamua kushare naye. Mwambie wewe si member huku ila huwa unapita kusoma tu.

Back
Top Bottom