Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

ok unachopaswa kujua ni kuwa mahusiano ni maisha kiujumla na ni zaidi ya kwenda kidato au chuo. lkn kwanini hatupendi kujifunza tunaishia kuishi kimazoea eti kwa kuwa tunadindisha basi ndo tumemalza hatutaki kujifunza mengi zaidi khs mahusiano?
Kwani mkuu kazi ya mdomo si kusema?Kwani si ni watabiri au bwana njozi tujue kila wanachotaka au kukiitaji? Waseme
 
Sio ukatili mkuu jamaa alishashinda jimbo huo ndio ukweli,,hakuna jipya hapo bora mvumiliane tu,,
Hata ukiamua kususa haisaidii maana siku zote utatembea na rojo yake aliyokumiminia,,,,
Ukweli mchungu
Kwa hiyo ukitembea na mtu ndo huwezi kumwacha ?ni kuvumilia upumbavu sababu ushatembea nae?
 
Yaan huwezi amini, anakuaga na unaondoka Kama ulivyokuja, sijawahi ona hi, na akikuaga anakwambia ukifika nijulishe😊

Hii ni old system ya kupata true wife, fanya tathmini kama yeye anaimani hio, na pengine unapata A+ sasa amua wewe unamhitaji hivo hivo au la? conservatives mpaka umuashe na tatizo mahusiano ya Africa power distance ni kubwa tunaishi mapenzi bila freedom of speech and expression, huo ni utumwa speak it out ukiwa na shida sema na ikiwezekana uwe unasema in advance.
 
Eeh jamaa hana mzuka na manz ila demu anajifanya haoni kama mwana anamrusha vipindi makusudi!

It may not be the only answer let's broaden the options, there is that thing value and respect to the difference and diversity
 
Kinachoniudhi ukiwanae anataka umshauri vitu kama viatu au nguo Kama ni nzuri anataka kuagiza,kwenye mtandao,na nivyagharama.hadi nachoka aisee

Kwa response hii duuh nakupa Disco Kama ushauri, aidha ulijionesha unajiweza sana kama sivyo jamaa anakuona wa kawaida sana hata ukijiondoa hataumia kbsa, ni vituko, je, na wewe hujawai tamani bidhaa za kike na ukaomba akununulie? Au unashobo nae sana kiasi kwamba umeliwa sana Sasa ndio akili imekujia ya wazi kuona kweli hupendwi unatumika tu, mind you ukijiondoa jamaa atakutaka tena maana wewe Ni wife material, sasa jipange kwa terms mpya.
 
Note that kawaida yangu Sina tabia ya kuomba pesa, ata mahusiano yangu yalopita, lakini mwanaume hujiongeza na kujua mpenzi wangu ata Kama pesa anayo, nimuongezee kiasi mfano anaweza nunua vocha, au kuongeza kwenye matumizi yake yoyote .

Sasa hi ya huyu ni Mpyaa na imenishangazaa.
 
Eeh jamaa hana mzuka na manz ila demu anajifanya haoni kama mwana anamrusha vipindi makusudi!

Mpaka aelewe na baharia kakomaa hatoi hata mia [emoji38] na show anapiga kweli kuna wanawake wana huruma sana mbona siwapatagi wa hivi
 
Note that kawaida yangu Sina tabia ya kuomba pesa, ata mahusiano yangu yalopita, lakini mwanaume hujiongeza na kujua mpenzi wangu ata Kama pesa anayo, nimuongezee kiasi mfano anaweza nunua vocha, au kuongeza kwenye matumizi yake yoyote .

Sasa hi ya huyu ni Mpyaa na imenishangazaa.

Una busara na ukomavu ni wajibu sasa mtengeneze mumeo vile utakavyo, husbands are made not bought from shops, just mentor him orient him to befriend mentors on marriages.
 
Sikutaja kiasi, ila nilimwambia siko vizuri kifedha ninashida na pesa ,jibu likawa ndiyo hilo

Next time don't ask a general question, be specific say exact amount, hili ni muhimu sana, and before you ask determine a fair and affordable amount though it's relative.
 
Kwa majibu yako you look modern and a market appealing lady, na nafikiri huyo bf wako Ni mtu ana impact fulani hivi, cheo, pesa, influence na potential flani, just dig further Kuna kuwa na mpenzi na kuwa na mchumba.
Yap jamaa Ana pesa , cheo na vyote ulivyosema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom