Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.

Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
Umeshawahi mchana laivu?
 
Alishawahi Kama Mara tatu hivi, mwanzon mwa mahusiano
Alishamaliza kampeni na jimbo kaahinda sasa unataka afanye kampeni ya nini na kutoa ngawila?
Mvumilie tu kama anakukuna unakunika,pia usisahau kumpa taarifa baada ya kukunwa kama umefika home salaama
 
We jamaa acha ukatili
Sio ukatili mkuu jamaa alishashinda jimbo huo ndio ukweli,,hakuna jipya hapo bora mvumiliane tu,,
Hata ukiamua kususa haisaidii maana siku zote utatembea na rojo yake aliyokumiminia,,,,
Ukweli mchungu
 
We jamaa acha ukatili
Sio ukatili mkuu jamaa alishashinda jimbo huo ndio ukweli,,hakuna jipya hapo bora mvumiliane tu,,
Hata ukiamua kususa haisaidii maana siku zote utatembea na rojo yake aliyokumiminia,,,,
Ukweli mchungu
 
Duh ..he is my hero hahah Kwa huo ujasiri.
Lazima kuna mtu alikuwa willing Ku spend hela yake kwako ukamdengulia ..so karma is punishing you...

Hebu mwambie Una shida ya hela umsikie
Daah, kumbe wengine tuna afadhari
 
Me mkuu,
Mkuu nilijua ww ke, nisamehee mkuu
ok unachopaswa kujua ni kuwa mahusiano ni maisha kiujumla na ni zaidi ya kwenda kidato au chuo. lkn kwanini hatupendi kujifunza tunaishia kuishi kimazoea eti kwa kuwa tunadindisha basi ndo tumemalza hatutaki kujifunza mengi zaidi khs mahusiano?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom