binadamu bana. Kama mtu anakunywa au hanywi we ina kuhusu nini ? kama unataka date mtu ambaye hanywi ni sawa. Ila mi nakunywa na sijawahi kukuomba ata kumi yako.