Wanaume ambao hawatumii pombe

Psychologically..there are three universal pleasure. .1.music 2.sex 3.anything which alter consciousness eg alcohol/cannabis and so forth. .and everybody should have atleast one because its universal...if I dont intertain any of those means that u psychotic. ...
 
Heri ya anaependa mwanamke tu kuliko anaependa pombe na wanawake, huyu mlevi atakua yupo double double.
 
Mhe. Ishu ni wanywa pombe vs wasiokunywa pombe kwamba wanaume wasiokunywa pombe wanapenda wanawake.

Hoja yangu ni kuwa km wanywa pombe hawapendi wanawake mbona machangudoa wamejaxana huko pande za vileo?
Nani aliyekudanganya wanaoenda sehemu ya vileo ni wanywa pombe peke yao? Njemba kibao tunakesha nazo baa zenyewe zinagida maji na soda. Zinajichukulia totoz kilaiiiini
 
Wasiokunywa pombe ni wambea na wengi wao ni S.I unit ya Ubahili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…