Wanaume ambao hawatumii pombe

Mwanaume na Ponmbe nisawa na Masai na Ngombe..
hayo mengineyo ni nyongeza tuu..
 
Post hii haswa inahusu nini ?

Umalaya ?
pombe ?
Ngono ?

Au hisia zako juu ya wanywa pombe?

au ulikua unacompare wanywa pombe na wasio kunywa pombe ?

Nasubiri jibu huku nakata kiroba

Mada inamaanisha walevi unapiga show na mabaamedi wakati wasiowanywaji show zao na wake za walevi
 
Mimi sinywi na sio mlafi but siku nafanya utaniita majina yoote
 
hakuna kitu kama hicho
Unaona sasa? Mi nakushauri fanya utafiti ujiridhishe. Tafuta mnywaji na asiye mnywaji.... uone tofauti zao. Usipende kusikiliza maneno ya watu bila kujiridhisha mwenyewe
 
Unaona sasa? Mi nakushauri fanya utafiti ujiridhishe. Tafuta mnywaji na asiye mnywaji.... uone tofauti zao. Usipende kusikiliza maneno ya watu bila kujiridhisha mwenyewe

wanywaji tunawaona jamani kwani mnanywea mbinguni aki
 
Malaya wa kike wasiojiuza wamejazana maeneo ya kwaya na fellowships.

Think twice ktk tafakuri yako
Mhe. Ishu ni wanywa pombe vs wasiokunywa pombe kwamba wanaume wasiokunywa pombe wanapenda wanawake.

Hoja yangu ni kuwa km wanywa pombe hawapendi wanawake mbona machangudoa wamejaxana huko pande za vileo?
 
Kuna njemba zinapiga kilaji na zinapenda totoz kuliko hata wasiokunywa. Umalaya ni tabia tu ya mtu, whether anakunywa or not.
 
Mambo!
 
safi ,unaonaje hizo tuhuma kua Ni walevi wa wanawake ambao hamnywi
Namewahi kusikia hilo but lina ukweli robo kwani kila mtu ana ulevi wake sio pombe au ngono tuu. Walevi wanaongoza kwa ngono hasa ambazo hazina maandalizi. Walevi ndo wanaongoza pia kulalamikiwa kitokidhi kiu ya wenza kwani huwa hawana kauli nzuri, domo chafu kiasi cha kumwondolea mwenzi hamu ya tendo.
Kwa sisi tusiokunywa hata maandalizi ya tendo humfanya mwenza kuwa tayari kwa tendo hata kumfanya afike kilele
 
Mhe. Ishu ni wanywa pombe vs wasiokunywa pombe kwamba wanaume wasiokunywa pombe wanapenda wanawake.

Hoja yangu ni kuwa km wanywa pombe hawapendi wanawake mbona machangudoa wamejaxana huko pande za vileo?
Nmekuelewa mkuu.. Nami hoja yangu ni kwamba, kupenda wanawake ni hulka tu.. Iwe club, bar, church, wherever... Wapenda papuchi wapo tu...
 
asante kwa kuelezea vyema
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…