Wanaume ambao hawatumii pombe

Hisia tu, ila pombe inamahusiano makubwa na umala.....
 
Kumtetea mumewe ambaye hanywi pombe. Maana si umeone jina lake kwenye Avatar anajiita ''My Hubby''

sio kumtetea Tu Bali tunasema watoe hiyo eti wasiokunywa wanapenda nyapu, ofkoz hanywi nna raha balaaa
 
Ni kweli ni wangonokaji wazuri sana. Case study mmeo na rafiki zake
 

Waswahili wanasema kila mtu ana ulevi wake na kuwa mlevi wa kitu fulani au kutokuwa mlevi wa kitu fulani ni chaguo la mtu. Kama mtu sio mlevi wa pombe basi, itakuwa sigara, kama sio sigara basi itakuwa bangi na madawa ya kulevya, kama sio sigara na madawa basi inaweza kuwa uzuzraji, kama sio uzururaji basi itakuwa uzinzi, n.k. Lakini kutokuwa mlevi wa pombe haimaniishi kuwa wewe ni mlevi wa uzinzi.
 
mama kahusikaje hapa?mama angu hanywi kilevi chochote,
Huoni wanawake wanaokunywa pombe wanavyolalwa hovyo,wanajikojolea ,wanabakwa huoni pombe imewasababishia,pombe huwapa hamu ndio tofauti na asipokunywa
Acha urongo wwe...pombe africa inachukuliwa kama mzigo sijui kwanni...labda sababu ya viroba na chang'aa...fuatilia life styl ya wazungu wanapenda ulabu ila they respect it as part of leisure/relaxation...
 
kuna jirani angu mmoja hanywi pombe yule baba ni CHAUMBEA HATARI
Yani hata nirudi saa nane usiku lazma asogeze kapazia kuchungulia

Kwa hiyo generalization uliyofanya inatokana na sample space ya mtu 1 tu, seriously?
 
Kila mmoja na tabia yake kuna wanaokunywa pombe na walevi wa wanawake na kuna waopenda wanawake na wakawa hawalewi na kuna ambao hawapendi hata kuwa na wanawake na pia hawalewi
 
sio kumtetea Tu Bali tunasema watoe hiyo eti wasiokunywa wanapenda nyapu, ofkoz hanywi nna raha balaaa
Nashukuru unafurahia penzi letu, nakuahidi sitokunywa pombe ng'o
 
nimeip
nimeipenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…