Wanaume acheni porojo fanyeni kweli

Wanaume acheni porojo fanyeni kweli

hahaaaaa jaman mbona unalalama ndugu cku hiz asilimia 95 ya wanaume ni sifur kunako bed viboro vmebaki vya kukojoa tu hawana lolot af ukitaka kujua mwanaum ziro mckie anavyoongea.na hili utapruv sasa hiv uone watavyochangia comment yangu wote ni sifur hasa wataokua wanajitetea sana mnxxxxxuuuu!!!!

viboro? Tehtetehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehteh!!!
 
Wanaume wa jf wanaongea sana fanyeni vitendo mwanaume washoka haongei sana we need action sio mimi naweza kula mzingo saa moja ukimpa hata dakika moja ana lala mpaka asubuhi wazungu wezenu wanakula mzigo hawaongei sana kama nyinyi wanaume waki bongo.

WATU WANATAKA "KISAMVU CHA KOPO" SIKU HIZI, NDO'HABARI YA MUJINI. So we ulitanguliza MATEMBELE yako ya kwa mtogole ukadhani yatalika vzuri. Tehe hehe he he! Pole kwa yaliyokusibu Mujini AKILI, na sio NGUVU kama Kjijini.
 
Waswahili hawakukosea kusema MFA MAJI haachi kutapatapa.......nami natoa yangu DEREVA MBOVU humkosoa hata dereva mzuri.....na pia Raha ya mapenzi ujipimie mwenyewe sio kusubiri kupimiwa.
 
Sio kweli coz nawajua vizuri wanaume wa tz ni 0


tumekushtukiaaaaa..... unataka ku force date...hutupati ng'oooooo.....kauze makaburini...

.....natema makohozi.... mmmkkkhhhxxxrrooooo kroooo ptsyuuuuuu...
 
ahahahahahahhahaha mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
sasa we kama ulitoa MZINGO na wenzio wanataka ENEO!
wafanyaje!
hebu tupishe hapa na ny.ege kitunguu saumu zako,kinamenywa jikoni kunukia bafuni!

Okay let me laugh!
Kitunguu noma
 
Wanaume wa JF?

Unawajua wangapi???????????
 
Wanaume wa jf wanaongea sana fanyeni vitendo mwanaume washoka haongei sana we need action sio mimi naweza kula mzingo saa moja ukimpa hata dakika moja ana lala
mpaka asubuhi wazungu wezenu wanakula mzigo hawaongei sana kama nyinyi wanaume waki bongo.

kwa inayomuhusu hii meseji basi na aifanyie kazi baaasii ndo muhim.
 
Tatizo picha za ngono zinawadanganya sana watu skuhizi! Wazuungu wa wa porno wanaweza ndio kwa sababu wanatumia dawa ambazo ni hatari pia kwa afya!
 
hahaaaaa jaman mbona unalalama ndugu cku hiz asilimia 95 ya wanaume ni sifur kunako bed viboro vmebaki vya kukojoa tu hawana lolot af ukitaka kujua mwanaum ziro mckie anavyoongea.na hili utapruv sasa hiv uone watavyochangia comment yangu wote ni sifur hasa wataokua wanajitetea sana mnxxxxxuuuu!!!!


mmmmmmh!!!!!!! utakuwa umekutana na vimeo tupu wewe........
 
mama wa watoto 4 huyo!! traaa..!
ndio maana mmeo anakunyanyasa coz anaijua tabia yako.. tulia bhanaa
 
JF wapo niliotoka nao lakini sitoweza kuwataja hapa sio kitu kizuri fanyeni mazoezi kuleni vitu vilokuwa havina mafuta punguzeni pombe na vitu vya sukari na punguza kitambi unaweza kupata hata goli moja mwezako akafurahia tendo

hii ni nadharia tu , hivyo vitu havichangii kivile , ni uvivu tu wa mtu na kukosekana kwa mzuka kutoka kwa mwanamke......
 
we upendo_20 utakuwa hauko sawa........

jana ulianzisha thread ukawakashifu wanaume wa JF leo tena

hivi hujui wengine tuna waume hum ndani wenye heshima zao,sasa wewe kama

ulikutana na huyo mmoja uchwara then uje ugeneralise the entire JF male members UACHE

Wee Heaven on earth, umenena vema. mwambie aje huku tumpe cha uhakika aache kushebedua
 
Last edited by a moderator:
Hii sredi kwa nini iko hapa? Inatakiwa chit chat kule!
 
Back
Top Bottom