Wanaume acheni kupiga wake zenu

Wanaume acheni kupiga wake zenu

Wako wanaume wengi udhani wameoa mke kumbe wameoa shetani. Mwanamke anakuwa na mdomo na ujuaji hataki kukaa sehemu yake kama mke na anataka kumtawala Mme. Nashauri vijana wanaooa siku hizi bora mkae mpenzi wako angalau miaka 5 ndo mfunge ndoa vinginevyo wanawake wa siku hizi ukikutana na haya mashetani utajuta au utafungwa au utaua. Unakuta mmeishazaa na watoto ukiwaangalia bado wanahitaji malezi yenu wakati limwanamke aliambiliki ndo maana wanaume unaamua ulitwange kisago cha maana akili ikae sawa. Maana ukisema ulifukuze yanakuja masheria ya kugawana mali wakati Mali hiyo jasho na nguvu za kuipata ni mwanaume. Mzee! Nakwambia ni shiidaaaaah!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena ukweli na ni mchungu sana huu kwa hawa Wanawake wa kizazi hiki[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa najiuliza style ya Ke kutokupigwa mbona ndiyo imezaa matokeo mabovu sana kudumisha ndoa ktk karne hii kuliko enzi za Babu na Bibi zetu???[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
piga mwanao....mkeo mmekutana ukubwani kila mmoja na mitabia yake....unafikiria ndo utamrekebisha...piga ngoma sio mwanamke braza....
 
Nasema hivi, endelea kuishi na huyo Mke wako ukimpetipeti kama yai nami nibaki nimkung'ute wangu panapobidi kwa uzito wa kosa.

Kwenye maisha kila mtu ana kanuni zake.

"Stand for the truth always stand alone"

Sent using Jamii Forums mobile app
piga mwanao....mkeo mmekutana ukubwani kila mmoja na mitabia yake....unafikiria ndo utamrekebisha...piga ngoma sio mwanamke braza....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Feminism on the rise.
Kuna vitu wanavipigania ila hawajui ni vipi.
Wanaishia kuvuruga ndoa na taasisi ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kibaya zaidi hao wanaowaiga yamewashinda sana hadi ss hv wanatumia ndoa za mikataba lkn wajinga wa kuigaiga kila kitu hata hawajitafakari[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili la kupiga wanawake haliepukiki. Wanawake wa kizazi hiki cha sayansi na teknolojia sio wanawake wa zama za mama yako mzazi au wewe maana kama upo ktk ndoa na mumeo miaka thelathi tukiongeza na ya ukuaji na elimu haipungui 50.
Hakuna mwanaume anaipanga kumpiga mwanamke mtu anaempenda hata kukata shauri la kuishi nae, wanawake wa leo hawashikiki, hawaambiliki, wapanda vichwani, wasio waaminifu, wababe, watu wa haki sawa n.k.
Wazee wetu walichaguliwa wake wa kuoa na ndoa zilidumu ila sisi wachagua mafundi kitandani ndoa hazidumu huo kuna mabadiliko toka kizazi cha nyuma kuja hichi cha JK na jiwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema hivi, endelea kuishi na huyo Mke wako ukimpetipeti kama yai nami nibaki nimkung'ute wangu panapobidi kwa uzito wa kosa.

Kwenye maisha kila mtu ana kanuni zake.

"Stand for the truth always stand alone"

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
utajitetea sana, hakuna kanuni ya kumpiga mwanamke katika maisha....kukosa kujiamini......mmeshindwana achana nae......piga mwanao
 
Mi kademu kangu ni kakorofi mnoo.. huwa kanaidhibiti michepuko yangu kwa kipigo hata wale kanaowahisi kuwa nachepuka nao huwa kanawafanyia fujo..Sasa juzi kamejichanganya anga zangu kakataka kunipasulia simu.. nilikawasha kibao cha usoni kabla akajaamini kilichokea nikakaongeza kingine nikamalizia na teke kisha mtama akabimiza kisogo kwenye kitanda akalia eti nimemtoa kizazi.. saivi ananiheshimu mnooooo
 
Back
Top Bottom