Wanaume acheni kupiga wake zenu

Wanaume acheni kupiga wake zenu

Wajaluo hua tunasema

'Hiyo? Hiyo mbona ni rahisi kama kupiga mke'

Anyway nina gloves za boxing kwa anayeona mkewe amezidi kua konkod.
 
Kumpiga Ke siyo sifa lkn kuna aina ya makosa yaliyovuka mipaka hadi Mke anakuona bwege usipomzibua hata makofi.
Kiukweli kumpiga mtu siyo vizuri kabisa. Lakini sikubaliani na msemo wa " there is no reason to hit a woman" . kiukweli there are million reasons to hit a woman, we (gentlemen) just don't it out of compassion and love.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu nazaliwa huu mwaka wangu wa 50 wa kuzaliwa, sijawahi kuona Mama yangu Mzazi anapigwa na Baba yangu Mzazi...

Tangu naolewa huu NI mwaka wangu wa ndoa Miaka 30 sijawahi KUMWONA MUME WANGU ananipiga labda kama ananipiga mechi (dyudyu)

Hivi kwani sikuhizi vijana wamekuwaje? Mbona vijana Mnapiga wake zenu shida Nene?

Nipo na dadangu hapa ananiambia sijui Mwimbaji Martha Mwaipaja ameachana na mumewe kisa Amepigwa

Na mumewe anajiita Nabii

Sa mbona watumishi wa Mungu mnatuchanganya lakini

Ila sio mbaya maana Yesu alisema siku ya mwisho kutakuwa na Manabii wa Uongo!

Alafu kuna kasheria kamepita kanasema mwanamke ukipigwa mumeo anafungwa so watoto wangu muwe na akili ya kukimbilia kwenye dola mkipigwa

Jamaani wadogozangu wanaume naombeni msipige wake zenu mkioa plz...

WANAUME ACHENI KUPIGA WAKE ZENU.

wakizingua na wapigwe kwa maana hakuna namna
Akinifumania bila uthibitiso atapigwa
 
Wako wanaume wengi udhani wameoa mke kumbe wameoa shetani. Mwanamke anakuwa na mdomo na ujuaji hataki kukaa sehemu yake kama mke na anataka kumtawala Mme. Nashauri vijana wanaooa siku hizi bora mkae mpenzi wako angalau miaka 5 ndo mfunge ndoa vinginevyo wanawake wa siku hizi ukikutana na haya mashetani utajuta au utafungwa au utaua. Unakuta mmeishazaa na watoto ukiwaangalia bado wanahitaji malezi yenu wakati limwanamke aliambiliki ndo maana wanaume unaamua ulitwange kisago cha maana akili ikae sawa. Maana ukisema ulifukuze yanakuja masheria ya kugawana mali wakati Mali hiyo jasho na nguvu za kuipata ni mwanaume. Mzee! Nakwambia ni shiidaaaaah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom