WanaSimba wote ni wafuasi wa Putin?

WanaSimba wote ni wafuasi wa Putin?

Mimi nimeongelea Club ya Simba, sijamuongelea yeye binafsi.

Kwa hiyo kama yeye binafsi angeridhia kuitwa Sadio 'Shoga' au Sadio 'Iddi Amin Dada' na club ya Simba nayo wangemwita na kuweka hivyo hadi kwenye page zao za mitandao??
Mbona mnashangilia manchester kujiita red devils au shetani wekundu?
Hamkemei hilo.
Hilo jina tu ndio maana watu wanajiita osama, wengine hitler, wengine carlos, wengine pablo
 
Hio sio hoja ya msingi, suala muhimu ni kwamba pia wako Pro Zelenskyy ambao ni mashabiki wa Simba. Hata kama wangekuwa wachache, lazima nao uwepo wao uheshimiwe.
Nimefarijika sana kwenye huu uzi kuona pro PUTIN wengi ni mashabiki wa simba
 
Utamaduni wa kuwahusudu watu wabaya na waovu sio mzuri, pia inaonyesha uduni wa akili na kutokujali.
Alokwambia PUT IN mbaya na muovu nani !!?

Hakuna ubora na utukufu anaoufanya PUT IN kama huu unaoendelea UKRAINE

PUT IN anatakiwa awe mfano wa kuigwa na DUNIA na wapenda AMANI na HAKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester ni timu ya Uingereza, hapa nazungumiza timu ya nchi yangu ambayo ndio inanihusu zaidi kwa karibu.
Mbona mnashangilia manchester kujiita red devils au shetani wekundu?
Hamkemei hilo.
Hilo jina tu ndio maana watu wanajiita osama, wengine hitler, wengine carlos, wengine pablo
 
Kwani sisi mashamba yetu Yako Ukraine?? Anaependa tuwe wategemezi Hadi kwenye chakula sio Putin,,,kwa hio Putin ametusaidia kuona ukweli uko wapi?? Kapiga Ukraine ngano imekosekana,,ndio unajua kwa nini sisi ngano inaota Hadi mwananyamala lakini hatupandi ila tunaagiza,,utadhani Kuna Sheria ya kutolima ngano ilipitishwa kwa hati ya dharura.
Mafuta ya kula, petroleum na gesi, mbolea supplier mkubwa ni Russia na Ukraine.
Utaluma bila mbolea? Unajua bei ya mbolea ilivyopaa?
Mafuta ya kula?
Ngano?
Elewa kitu kinaitwa competitive advantage!!! Urussi ana competitive advantage over Tanzania kwenye uzalishaji wa ngano.

Mahindi na nafaka zote.

Ngano inastawi mwananyamala????
Mtoto wa Dar wewe
 
Mimi nimeongelea Club ya Simba, sijamuongelea yeye binafsi.

Kwa hiyo kama yeye binafsi angeridhia kuitwa Sadio 'Shoga' au Sadio 'Iddi Amin Dada' na club ya Simba nayo wangemwita na kuweka hivyo hadi kwenye page zao za mitandao??
Ndyooo wange muita na wangewekaaaa kwa page zao,,muhusika kakubali sasa shida nn? Vipi una jingineee??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo mtoto akikua halafu asikubaliane na matendo ya Putin itakuaje?!
Kuna majina ya kuwaepusha nayo watoto.
Mbeya kuna mwakaputin[emoji1787]
 
Mafuta ya kula, petroleum na gesi, mbolea supplier mkubwa ni Russia na Ukraine.
Utaluma bila mbolea? Unajua bei ya mbolea ilivyopaa?
Mafuta ya kula?
Ngano?
Elewa kitu kinaitwa competitive advantage!!! Urussi ana competitive advantage over Tanzania kwenye uzalishaji wa ngano.

Mahindi na nafaka zote.

Ngano inastawi mwananyamala????
Mtoto wa Dar wewe
Sisi tulikuwa na kiwanda Cha mbolea lakini Sasa hivi ni bonded warehouse kwa ajili ya storage ya petroleum fuel na pia hatununuagi vitu urusi maana tutanyimwa misaada.
Kingine ngano anayotumia bakhresa na Azam inatoka nchi za magharibi esp Ukraine,,lakini zamani tulikuwa tunaexport ngano...
Hata petroleum fuel hatununui kwa Russia maana tutawachukiza wafadhili wetu.

Kila kitu tunacho ila Kuna anaewapotosha viongozi wetu (kina mangungo wa msovero) ili wasijitegemee kwa walivyo navyo.
 
1 Putin has a satanic blended mind
2 Putin ni shetani na jini mpenda kuona dunia inahangaika kwa njaa na majanga ya kila aina
3. Maisha magumu kisa akili matope za Putin
4.Sijui anawaza nin kichwani mwake huyu shetani

Mim ni Simba ya tokea Abeid maiba, kimti Damian, Dua Saiti, mwanamtwa kiwelu, mliberia flani alikuja Simba jina linanitoka sina mkate njaa.

Usihusishe shetqn Putin na Simba
Nonsense.umeandika pumba Sana wewe Putin unamjulia wapi
 
Hio sio hoja ya msingi, suala muhimu ni kwamba pia wako Pro Zelenskyy ambao ni mashabiki wa Simba. Hata kama wangekuwa wachache, lazima nao uwepo wao uheshimiwe.
Ni kweli,lakini nimshukuru kwa kukuongoza kuleta uzi huu ambao umenipa faraja.
Pro simba=raha
Pro Putin=raha
Pro ''chama hiki''=p
 
Back
Top Bottom