WanaSimba wote ni wafuasi wa Putin?

WanaSimba wote ni wafuasi wa Putin?

Mfano siku Simba wamepata mwaliko wa kucheza na Liverpool au Bayern Munich wanaweza kutumia haya majina ya Putin au Osama Bin Laden huko ughaibuni kusherehesha??

Au siku Rais wa FIFA Infantino yuko kiwanjani kama mgeni anaangilia mechi yao wanaweza kufanya huo utumbo ?
Kwahiyo hao ulio wataja ni akina nani mpaka watupangie namna ya kufanya?

Kwani kuna kifungu chochote ndani ya sheria za fifa zinazo sema kutaja jina la Putin ndani ya uwanja ni kosa ?

Acha chuki za kifala.
 
Basi Phiri aitwe HIMARS kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa ushambuliaji.
Kaitwa Putin kutokana na uwezo wake mkubwa wa ukabaji,,,hakuna mwenye swali kuhusu kazi kubwa anayoifanya yeye na Mzamiru Yasin kwenye kiungo Cha Simba.

Tukirudi kwa Vladimir Putin ni mtu makini mwenye weledi na uangalifu mkubwa.Vita ya Ukraine ni kwamba anapogana na mabara 2,,, America na ulaya,,,,Zaidi ameweza kustahimili na ninatamani ashinde.

Vyombo vya kihuni vya magharibi vinajua kueneza uwongo na vina watu wabaya sana.
 
Mfano siku Simba wamepata mwaliko wa kucheza na Liverpool au Bayern Munich wanaweza kutumia haya majina ya Putin au Osama Bin Laden huko ughaibuni kusherehesha??

Au siku Rais wa FIFA Infantino yuko kiwanjani kama mgeni anaangilia mechi yao wanaweza kufanya huo utumbo ?
Sio jina rasmi
 
Hizo ni a.k.a kama ilivyo kwa mwamba wa Lusaka, guadiola mnene na nyingine sijawahi kuona shida kwenye hilo
 
UKIACHA a na Mapungufu ya Simba kuwa na wachezaji Avarage. Kanute ni Mchezaji mbovu mno.

:Ni mchezaji mwenye Hasira.

:Ni mchezaji anaetumia nguvu nyingi sana.

:Ni mchezaji anayeongoza kwa KadI za njano.

Kama kiungo wa Simba la kati anakosa.
Agility.
Frexibility.
Vision

Kukokotaa mpira, pass,Asist, kupiga vichwa nk vyote hawezi.

Kanute ni mbovu mno
 
Vipi kuhusu mashabiki wa Simba walio kinyume na Putin, wenye mrengo na ambao wanazipenda nchi za Magharibi?
Iddi Amini alikuwa adui wa Tz ila Putin sio adui wa tz bali ni adui wa Ukraine na nchi za magharibi.
 
Hayo ndo madhara ya kuweka watu unproffesional kwenye vitu vinavyohitaji proffesionalism
 
Basi Phiri aitwe HIMARS kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa ushambuliaji.
Hapana Kuna majina yenye maana kama S-500,, Tupolev,,VI Lenin,,,nk.Kuhusu ufundi warusi ndio mafundi waliofanya mambo makubwa kabla ya hao waliberali,,, waliberali ni watu wa copy,,paste na modification.Ndio maana Hadi Sasa hawana Supersonic Missile wapo kwenye research na njama za kupata technology ya warusi.Kwa hio Phiri tutamwita jina lenye hadhi T-56(Tupolev 56)
 
Nimeona admin wa page ya Simba anatangaza hadi nguo za Vunja bei toto kwenye ukurasa wa Simba!
Hayo ndo madhara ya kuweka watu unproffesional kwenye vitu vinavyohitaji proffesionalism
 
UKIACHA a na Mapungufu ya Simba kuwa na wachezaji Avarage. Kanute ni Mchezaji mbovu mno.

:Ni mchezaji mwenye Hasira.

:Ni mchezaji anaetumia nguvu nyingi sana.

:Ni mchezaji anayeongoza kwa KadI za njano.

Kama kiungo wa Simba la kati anakosa.
Agility.
Frexibility.
Vision

Kukokotaa mpira, pass,Asist, kupiga vichwa nk vyote hawezi.

Kanute ni mbovu mno
Mkuu Kanoute ana improve kuendana na mda na anakuwa Bora,,Usijeshangaa ukamwona Uingereza.
 
UKIACHA a na Mapungufu ya Simba kuwa na wachezaji Avarage. Kanute ni Mchezaji mbovu mno.

:Ni mchezaji mwenye Hasira.

:Ni mchezaji anaetumia nguvu nyingi sana.

:Ni mchezaji anayeongoza kwa KadI za njano.

Kama kiungo wa Simba la kati anakosa.
Agility.
Frexibility.
Vision

Kukokotaa mpira, pass,Asist, kupiga vichwa nk vyote hawezi.

Kanute ni mbovu mno
Huyo ni kanoute gani unayemzungunzia? Au unamzungumzia bigirimana?
 
Vipi kuhusu mashabiki wa Simba walio kinyume na Putin, wenye mrengo na ambao wanazipenda nchi za Magharibi?
Msimamo wa serikali ya nchi husika ndo unaamuwa ni nani adui wa nchi au rafiki kwa hiyo serikali yako kama haimchukulii Putin kama adui wa taifa basi sio adui yetu, ww kama unamuona ni adui ni mawazo yako binafisi lakini sio ya Tz.

Hata Kwenye nchi za magharibi ambazo Putin anaonekana ni adui ,ana onekana adui kwa sababu ya msimamo wa serikali zao na sio kwamba raia wote kwenye nchi wanamuona Putin ni mbaya bali kuna mamilioni ya raia ndani ya nchi hiyo ni waumini wa farsafa za Putin.
Jaribu kutumia kichwa chako kufikiri na sio kuongozwa na chuki.
 
Kwa sasa njaa anatutia PUTIN
Kwani sisi mashamba yetu Yako Ukraine?? Anaependa tuwe wategemezi Hadi kwenye chakula sio Putin,,,kwa hio Putin ametusaidia kuona ukweli uko wapi?? Kapiga Ukraine ngano imekosekana,,ndio unajua kwa nini sisi ngano inaota Hadi mwananyamala lakini hatupandi ila tunaagiza,,utadhani Kuna Sheria ya kutolima ngano ilipitishwa kwa hati ya dharura.
 
Back
Top Bottom