WanaSimba wote ni wafuasi wa Putin?

WanaSimba wote ni wafuasi wa Putin?

Manchester ni timu ya Uingereza, hapa nazungumiza timu ya nchi yangu ambayo ndio inanihusu zaidi kwa karibu.
Huenda sio Putin unayemwazia wewe.
Na huenda kaitwa putin kwa sababu hatetetereki. Kuna sifa ambayo anaiweza kuwa moja tu ambayo ndio humfanya mtu ajibandike jina fulani.
Ukisikia pablo, basi huenda jamaa ana pesa kama alivyokuwa pablo escobar, au atafanya lolote kupata pesa kama pablo.
Long live Putin
 
Mbona Putin anatetereka sasa?!

Utamaduni wa kuwahusudu watu wabaya na waovu sio mzuri, pia inaonyesha uduni wa akili na kutokujali.
Klabu za Epl na timu kadhaa za Taifa wanaunga mkono mapenzi ya jinsia moja

Je huwa wako sawa au wanaunga mkono uovu.
 
Mapenzi ya jinsi moja ni halali Ulaya
Klabu za Epl na timu kadhaa za Taifa wanaunga mkono mapenzi ya jinsia moja

Je huwa wako sawa au wanaunga mkono uovu.
 
Shmm
Utamaduni wa kuwahusudu watu wabaya na waovu sio mzuri, pia inaonyesha uduni wa akili na kutokujali.
Kuwa na adabu wewe mtoto. Putin ni shujaa. Amekuja kuwafumbua watu waliolala kuamka na utawala wa kishetani wa magharibi. Wewe unakubaliana na ndoa za jinsia moja?
 
Back
Top Bottom