Mapokezi ya Putin nchini China, Je, Huu ni Ujumbe kwa Marekani na NATO?

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
9,944
Reaction score
35,401
Katika hii ziara ambapo Putin ameenda China naona mambo hayakuwa kiofisi tu kama Trump alivyo karibishwa, Xi na Putin wameonekana wakipika pamoja vyakula vya asili vya China, wakinywa pombe , na wamekula pamoja, wamesafiri pamoja kwa treni ya mwendokasi, wameangalia michezo pamoja.

Nimekaa hapa natafakari naona huu ni ujumbe tosha kwa US na NATO, maana hii hospitality amepata Putin ni tofauti kabisa na jinsi Trump alivyokaribishwa.

Naona Xi katuma ujumbe makusudi, ukiachilia hilo wamesaini mkataba , na kikubwa zaidi wamesaini mkataba wenye kurasa 47 , Joint Declaration on a Multipolar World Order,mkataba huo , ni mkakati mzito wa kisiasa uliolenga moja kwa moja kupinga ubeberu na ulimwengu unaoongozwa na nchi moja tu , unipolar, hususani wakiilenga USA.

Nimeshangaa sana maana Trump kaenda China na amerudi mikono mitupu...

Yote na yote Iran imefanya maajabu sana, na imewapa Xi na Putin kiburi hata cha kufanya jambo hili... salute to Iran.

View: https://www.youtube.com/watch?v=za58qXRreZA
 
Gentleman,
kama taifa la Tanzania,
hakuna haja kabisa ya wananchi wake kubabaika au kuweweseka na ushirika baina ya China na Russian dhidi ya Marekani.
Ushirika wao na makubaliano yao ni kwa maslahi mapana kiuchumi, kisiasa na kijamii ya kwananchi wa mataifa yao matatu.

Ni muhimu zaidi kwa mataifa yote ulimwenguni, kujizatiti katika kujitegemea zaidi badala ya kupumbazwa na kubabaika na regional integrations zisizo na msaada wowote kijamii, kisiasa au kiuchumi 🐒
 
Ahaa, je dunia ni unipolar chini ya USA au bipolar chini ya USA na China?
Mkuu naona kama context inakupiga chenga kidogo?
Ni hivi wale super powers wasiwe na misigano ya waziwazi ktk kugombania fursa za kiuchumi ulimwenguni.
Yaani isitokee USA aka dominate fursa kibabe na kuwajambisha say CHINA, RUSSIA etc ambaye nae ana uwezo vilevile wa ku implement na kuweka policy ambazo anaona zipo fair ktk ku undermine chochote bila mazingira ya mwingine kujifanya kiranja mkuu.
 
Katika hii ziara ambapo Putin ameenda China naona mambo hayakuwa kiofisi tu kama Trump alivyo karibishwa, Xi na Putin wameonekana wakipika pamoja vyakula vya asili vya China, wakinywa pombe , na wamekula pamoja, wamesafiri pamoja kwa treni ya mwendokasi, wameangalia michezo pamoja.

Nimekaa hapa natafakari naona huu ni ujumbe tosha kwa US na NATO, maana hii hospitality amepata Putin ni tofauti kabisa na jinsi Trump alivyokaribishwa.

Naona Xi katuma ujumbe makusudi, ukiachilia hilo wamesaini mkataba , na kikubwa zaidi wamesaini mkataba wenye kurasa 47 , Joint Declaration on a Multipolar World Order,mkataba huo , ni mkakati mzito wa kisiasa uliolenga moja kwa moja kupinga ubeberu na ulimwengu unaoongozwa na nchi moja tu , unipolar, hususani wakiilenga USA.

Nimeshangaa sana maana Trump kaenda China na amerudi mikono mitupu...

Yote na yote Iran imefanya maajabu sana, na imewapa Xi na Putin kiburi hata cha kufanya jambo hili... salute to Iran.

View: https://www.youtube.com/watch?v=za58qXRreZA

Mahusiano ya China na Marekani ni wa kimasilahi zaidi ila urafiki wa Urusi na China ni wa kiundugu zaidi.
 
Katika hii ziara ambapo Putin ameenda China naona mambo hayakuwa kiofisi tu kama Trump alivyo karibishwa, Xi na Putin wameonekana wakipika pamoja vyakula vya asili vya China, wakinywa pombe , na wamekula pamoja, wamesafiri pamoja kwa treni ya mwendokasi, wameangalia michezo pamoja.

Nimekaa hapa natafakari naona huu ni ujumbe tosha kwa US na NATO, maana hii hospitality amepata Putin ni tofauti kabisa na jinsi Trump alivyokaribishwa.

Naona Xi katuma ujumbe makusudi, ukiachilia hilo wamesaini mkataba , na kikubwa zaidi wamesaini mkataba wenye kurasa 47 , Joint Declaration on a Multipolar World Order,mkataba huo , ni mkakati mzito wa kisiasa uliolenga moja kwa moja kupinga ubeberu na ulimwengu unaoongozwa na nchi moja tu , unipolar, hususani wakiilenga USA.

Nimeshangaa sana maana Trump kaenda China na amerudi mikono mitupu...

Yote na yote Iran imefanya maajabu sana, na imewapa Xi na Putin kiburi hata cha kufanya jambo hili... salute to Iran.

View: https://www.youtube.com/watch?v=za58qXRreZA

Ulitaka Trump apike chakula pamoja na watema makohozi.
 
Kuna faida gani ya dunia kuwa multipolar tofauti na bipolar?
Wewe unaonaje upo eneo fulani na ni mfanyabiashara, mji mzima una bidhaa fulani ambayo haipatikani kwingine zaidi ya duka lako? Ni obviously utaanza kuwa na dharau, utapanga bei utakavyo, na wateja watakunyenyekea.

hata likija duka la pili unaweza kupanga bei ya kutuumiza watu. Lakini huo mji kukiwa na maduka mengi makubwa huo upekee utaisha, kila duka litalazimika kushusha bei, , kuboresha huduma na itakuwepo lugha nzuri kwa wateja, hivyo kwenye siasa ya dunia ndivyo ilivyo
 
Mkuu kila uchao mambo yanazidi kubadilika tumeona anachokifanya iran kupigania maslahi ya taifa lake. Hapa ukija kwa putin na xi utaona kabisa wana share a common enemy ambae ni tishio kwa mataifa yao hivyo kupambana nae inahitaji umoja.
Ni sahih mkuu..
Iran anajipanga tena kuingia raundi nyingine, hii ya sasa naona nchi za kiarabu zinaweza kumshambulia, lakini itakuwa hali mbaya kwao.. hususani UAE..
 
Katika hii ziara ambapo Putin ameenda China naona mambo hayakuwa kiofisi tu kama Trump alivyo karibishwa, Xi na Putin wameonekana wakipika pamoja vyakula vya asili vya China, wakinywa pombe , na wamekula pamoja, wamesafiri pamoja kwa treni ya mwendokasi, wameangalia michezo pamoja.

Nimekaa hapa natafakari naona huu ni ujumbe tosha kwa US na NATO, maana hii hospitality amepata Putin ni tofauti kabisa na jinsi Trump alivyokaribishwa.

Naona Xi katuma ujumbe makusudi, ukiachilia hilo wamesaini mkataba , na kikubwa zaidi wamesaini mkataba wenye kurasa 47 , Joint Declaration on a Multipolar World Order,mkataba huo , ni mkakati mzito wa kisiasa uliolenga moja kwa moja kupinga ubeberu na ulimwengu unaoongozwa na nchi moja tu , unipolar, hususani wakiilenga USA.

Nimeshangaa sana maana Trump kaenda China na amerudi mikono mitupu...

Yote na yote Iran imefanya maajabu sana, na imewapa Xi na Putin kiburi hata cha kufanya jambo hili... salute to Iran.

View: https://www.youtube.com/watch?v=za58qXRreZA

Xi and Putin bromance, mkutano huu umeonyesha umuhimu wa China na Russia kwenye dunia ya multipolar

Moja ya jambo nililopenda kumekuwa na mazungumzo ya awali ya ujenzi wa Siberia 2 gas pipeline

Mkataba ukikamilika pipeline ikajengwa, 50 bcm za gas zitasafirishwa Yamal-Inner Mongolia kila mwaka
 
Back
Top Bottom