Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,027
- 12,787
Vladimir Putin, yaani miaka ya nyuma ulikuwa ukisikia hili jina unatetemeka,
Wakati anaivamia Ukraine ilionekana ndani ya muda mfupi tu ataiteka Ukraine, piga nikupige baina yake na kanchi kadogo, huku akichezea kichapo heavy, kisha kukimbilia africa kushawishi vijana kwenda kupigana na Ukraine kunifanya nimdharau sana.
Nyie timu putin, ukubwa wa huyu mwamba upo wapi? Mwenzake china yupo us muda huu.