WanaSimba wote ni wafuasi wa Putin?

WanaSimba wote ni wafuasi wa Putin?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
65,016
Reaction score
111,416
Ujinga gani huu?
Hiki ni kiwango cha juu cha kukosa weledi.
Screenshot_20230107-190531_Twitter.jpg
 
1 Putin has a satanic blended mind
2 Putin ni shetani na jini mpenda kuona dunia inahangaika kwa njaa na majanga ya kila aina
3. Maisha magumu kisa akili matope za Putin
4.Sijui anawaza nin kichwani mwake huyu shetani

Mim ni Simba ya tokea Abeid maiba, kimti Damian, Dua Saiti, mwanamtwa kiwelu, mliberia flani alikuja Simba jina linanitoka sina mkate njaa.

Usihusishe shetqn Putin na Simba
 
Mimi nimeongelea Club ya Simba, sijamuongelea yeye binafsi.

Kwa hiyo kama yeye binafsi angeridhia kuitwa Sadio 'Shoga' au Sadio 'Iddi Amin Dada' na club ya Simba nayo wangemwita na kuweka hivyo hadi kwenye page zao za mitandao??
Kama yeye binafisi ameridhia kuitwa hilo jina ww unawashwa nn?
Hii si ndo demokrasia una unayo ililia?
 
Mimi nimeongelea Club ya Simba, sijamuongelea yeye binafsi.

Kwa hiyo kama yeye binafsi angeridhia kuitwa Sadio 'Shoga' au Sadio 'Iddi Amin Dada' na club ya Simba nayo wangemwita na kuweka hivyo hadi kwenye page zao za mitandao??
Ww huwezi kuipangia Club namna ya kuendesha mambo yake kila mtu akitaka Club ifanye kile anacho taka si itakuwa taflani?
Demokrasia ni pamoja kuvumilia vitu vinavyo kukera.
 
Mimi nimeongelea Club ya Simba, sijamuongelea yeye binafsi.

Kwa hiyo kama yeye binafsi angeridhia kuitwa Sadio 'Shoga' au Sadio 'Iddi Amin Dada' na club ya Simba nayo wangemwita na kuweka hivyo hadi kwenye page zao za mitandao??
Ha ha ha ha ha ha eti saido shoga, umenichekesha saaana mkuu.
 
Kaitwa Putin kutokana na uwezo wake mkubwa wa ukabaji,,,hakuna mwenye swali kuhusu kazi kubwa anayoifanya yeye na Mzamiru Yasin kwenye kiungo Cha Simba.

Tukirudi kwa Vladimir Putin ni mtu makini mwenye weledi na uangalifu mkubwa.Vita ya Ukraine ni kwamba anapogana na mabara 2,,, America na ulaya,,,,Zaidi ameweza kustahimili na ninatamani ashinde.

Vyombo vya kihuni vya magharibi vinajua kueneza uwongo na vina watu wabaya sana.
 
Utamaduni wa kuwahusudu watu wabaya na waovu sio mzuri, pia inaonyesha uduni wa akili na kutokujali.
Kwa perspective yao sio watu wabaya, wanaona Putin kama shujaa aliyei challenge nchi za Magharibi
 
Ujinga gani huu?
Hiki ni kiwango cha juu cha kukosa weledi.View attachment 2472672
1 Putin has a satanic blended mind
2 Putin ni shetani na jini mpenda kuona dunia inahangaika kwa njaa na majanga ya kila aina
3. Maisha magumu kisa akili matope za Putin
4.Sijui anawaza nin kichwani mwake huyu shetani

Mim ni Simba ya tokea Abeid maiba, kimti Damian, Dua Saiti, mwanamtwa kiwelu, mliberia flani alikuja Simba jina linanitoka sina mkate njaa.

Usihusishe shetqn Putin na Simba
Namchukia Putin ila tuache drama. Hii dunia ina watu (maarufu) waovu kuliko Putin. Msimfanye Putin ndio mtu muovu saaaana kuliko wote duniani.
 
Kaitwa Putin kutokana na uwezo wake mkubwa wa ukabaji,,,hakuna mwenye swali kuhusu kazi kubwa anayoifanya yeye na Mzamiru Yasin kwenye kiungo Cha Simba.

Tukirudi kwa Vladimir Putin ni mtu makini mwenye weledi na uangalifu mkubwa.Vita ya Ukraine ni kwamba anapogana na mabara 2,,, America na ulaya,,,,Zaidi ameweza kustahimili na ninatamani ashinde.

Vyombo vya kihuni vya magharibi vinajua kueneza uwongo na vina watu wabaya sana.
Naongeza; Putin hana muda wa kucheka cheka hovyo. Yeye ni mtu wa kazi tu. Sadio amebeba hiyo character,yeye focus yake ni kazi tu uwanjani.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Eti kwa sababu anacheza rafu..🤣🤣

Ila huo ni ushabiki tu, kumbuka kipindi kile baada ya Septemba 11 kuliibuka watu wengi waliokuwa wakijiita Osama
Utamaduni wa kuwahusudu watu wabaya na waovu sio mzuri, pia inaonyesha uduni wa akili na kutokujali.
Ila mbali na hayo, Usama ni jina la mmoja wa Maswahaba wa Mtume (Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam) akiitwa Usama Bin Zayd (Radhwiya Allahu 'Anhuma).

Sio jina baya.
 
Mfano siku Simba wamepata mwaliko wa kucheza na Liverpool au Bayern Munich wanaweza kutumia haya majina ya Putin au Osama Bin Laden huko ughaibuni kusherehesha??

Au siku Rais wa FIFA Infantino yuko kiwanjani kama mgeni anaangilia mechi yao wanaweza kufanya huo utumbo ?

Back
Top Bottom