Wanasema tujiajiri wao mbona hawajiajiri?

,,,laiti kama mitaji ingetolewa kwa graduate then waseme wajiajr lakn mmmmh! ndo tz,,maneno meng zaid ya matendo,, wanaboa sana hao wanaosema kujiajr bla kuweka mising bora ya kuwezesha kjana ajiajr!

graduater tukiwapa mitaji baadhi mtaanza shinda bar kwa madem at the end mtaji unakata mnakuja na hoja mpya kuwa mitaji midogo iongezwe wewe kama upp mjini na ulitoka porini ukaja shule umemaliza na mambo magumu rudi kijijini uko tunaitaji WEO NA VEO wasomi kwanini mnangangania mjini
 
Ni maneno ya kawaida ya faraja. Hata ndugu yako akifa watakuja majirani wana kuambia huko alikoenda ni nyumbani sote tutaenda huko huko. Ukijiuliza kama ni nyumbani kwa nini yeye asiende maana kila mtu hupenda kwenda nyumbani tena kwa kuwahi.
Hata watu walio ajiriwa wengine wanajiajri pia ili kuongeza kipato chao. Kauli haikatazi kuajiriwa ila ina maana kuwa kama hujapata ajiri ya ofisini, jaribu kujiajiri. Uwe mbunifu wa kutafuta kitu chochote kitakacho kusaidia kupata mahitaji yako huku ukiendelea kutafuta ajira ya ofisini. Ikiwa umejiajiri utajipatia hata kanauli wakati ukiitwa kwenye usaili kuliko ukikaa bure ukingoja ajira.
Hoja yako inakuwa na mshiko pale anayekushauri kujiajiri hata akiambia astaafu bado anaomba kufanya kazi kwa mkataba. Lakini hilohalikusaidii wewe kama kijana msaka tonge la leo. Hata ukiulza mara 100, mbona yeye, mbona wao, mbona watoto wao....... hata maswali yote haya yakijibiwa kwa ustadi hayatakupa shibe wewe. Tafuta cha kufanya hata kama inakuuma kusema jiajiri, mwanaume ada yake ni kupambana na mazingira aliyomo.
.......Unajua mda mwingine sijui tuseme vituko

unakuta profesa. Waziri. Katibu mkuu. Dr. Mkurugenzi... Anasema graduates acheni mawazo potofu ya kuajiriwa.. Jiajiriri Ajira ni chache.... Dahhhh kauli inauma hii

cha kushangaza..

Wao hawajawahi kufikiria kujiajiri

watoto wao hawajawahi kuwahimiza wajiajiri japo wana mitaji ya uhakika kabisaaa

kwamba ni ngumu kukuta mtoto wa kigogo kakosa kazi.. Kumbe ajira zipo asehhhh....

Kwamba ikitokea ajira zimetangazwa ndo kwanza anatafutwa mtoto wa mjomba wa shangaz wa kaka.. Abandikwe ili mradi tu mtoto wa mkulima akose kazi.. Rejea sakata la uhamiaji

JAMANI... WANATANGAZA AMANI HUKU NYUMA WAMESHIKA MAPANGA HII SYO FAIR KABISAA

KWAMBA ajira ni chache wanatuhimiza vijana wa wakulima tujiajiri ilihali wanajua fika kuwa hatuna mitaji wakati watoto wao ambao wana uhakika wa mtaji hawawez kujiajiri..

kana kwmba haitoshi ht kile kidogo kinachotengwa kuwawezesha vijana wajiajiri watu wanagawana

inauma sana.. Lengo si uchochezi ila ni kueleza hali halisi. Au nimeongopa?????
 
Ukweli unabaki palepale
 
graduater tukiwapa mitaji baadhi mtaanza shinda bar kwa madem at the end mtaji unakata mnakuja na hoja mpya kuwa mitaji midogo iongezwe wewe kama upp mjini na ulitoka porini ukaja shule umemaliza na mambo magumu rudi kijijini uko tunaitaji WEO NA VEO wasomi kwanini mnangangania mjini

Hakuna aliyesema tugawe mitaji kwa graduate mithili ya njugu

wajaribu kurefer hata program ya uhuru kenyata kwa vijana

unaandaa mafunzo ya mda mfupi.. Wanaomudu unawawezesha mtaji

wako vijana wengi wenye nia ya kujiajiri lakin wanakosa morale kutoka na kukosa sapoti ya utawala

hizo kaz za weo na veo hakuna alyezikataa hazijatolewa
 
graduater tukiwapa mitaji baadhi mtaanza shinda bar kwa madem at the end mtaji unakata mnakuja na hoja mpya kuwa mitaji midogo iongezwe wewe kama upp mjini na ulitoka porini ukaja shule umemaliza na mambo magumu rudi kijijini uko tunaitaji WEO NA VEO wasomi kwanini mnangangania mjini

Ningekuwa graduater ningekujibu
 
Huenda mm ndo sijamuelewa mtoa uzi. lkn kwa upeo wangu nafikiri yy hapingi moja kwa moja wazo la kujiajiri, lkn anahoji kama wanaopayuka hoja hiyo wana dhamira ya dhati ni kwa nn watoto wao hawajiajir kwanza wao wakat mitaj wanao? badala yake kuwataka watoto wa wakulima ambao hawana mitaji kujiajir mantiki yake ni ipi?
haya sasa watto wa wakulima wako tayar kujiajir, ni kwa nin hawapew mikopo ili watekeleze nadharia hiyo?
haya ndiyo mashaka ya mtoa uzi ambayo hayapaswi kupuuzwa kirahic
 
Nawatafuta saana watu kama nyinyi kufanikisha makala yangu naamini itawasaidia saana hasa wahitim Wa vyuo ni PM number yako mkuu.

Aisee Na Mimi Niongeze.Kuna Unfair Nyingi Mno Zinachezeka Hapa Nchini Na Kumeshatokea Matabaka Mawili Kati Ya Wenye Navyo Na Wasionavyo
 
Huenda mm ndo sijamuelewa mtoa uzi. lkn kwa upeo wangu nafikiri yy hapingi moja kwa moja wazo la kujiajiri, lkn anahoji kama wanaopayuka hoja hiyo wana dhamira ya dhati ni kwa nn watoto wao hawajiajir kwanza wao wakat mitaj wanao? badala yake kuwataka watoto wa wakulima ambao hawana mitaji kujiajir mantiki yake ni ipi?
haya sasa watto wa wakulima wako tayar kujiajir, ni kwa nin hawapew mikopo ili watekeleze nadharia hiyo?
haya ndiyo mashaka ya mtoa uzi ambayo hayapaswi kupuuzwa kirahic

Ndugu yangu ungekuwa kwenye darasa nalofundisha ningekupa A

asante kwa kunielewa mada yangu

umesoma mstari hadi mstari

ubarikiwe sana na uzidi kuwaelewesha wwngine

wale wakurupukaji nadhan watajifunza upya
 
Mimi binafsi naamini katika kujiajiri! Nilipo maliza chuo niliona kuajiriwa ndio njia rahisi ya kupata maisha niliyokuwa najiwazia. Lakini nilipokuwa nimeajiriwa nilijikuta natumia muda wangu mwingi kuineemesha taasisi niliyokuwa naifanyia kazi huku kipato kikiwa kidogo! Lakini nilipofanya uwekezaji mdogo tu Kariakoo na pale Temeke, hela ninayotengeneza kwa siku ningesubiri mishahara ya miezi miwili kuipata kama ningeng'ang'ania kubaki kule kwenye ajira!
sijajua sana mazingira uliyopo lakini kwangu mimi kujiajiri naona kunaelekea kunipeleka kule ninako taka kwenda muda mchache ujao!
Umesema ulianza kuajiriwa ndo ukaingia kwenye biashara. Hapa tunaongelea mtu kutoka shule tu hajawahi kufanya kazi. Hana uzoefu wowote, hana exposure, hana network, hana hata hela ya kula.
 
Mkuu hata MB unazotumia kupostia hizi coments fedha si inatumika?? nazo zimetoka kwa wazazi?

Acha ujuaji wewe, mazingira unayotumia kuhalalisha point yako hayakusupport, ushaambiwa mtu anakaa kwa ndugu, anakula hapo hapo, sa zingine vocha anarushiwa direct as airtime, yeah let's imagine like that......

Mazingira ya kujiajiri yanahitaji mtaji, hata kama laki mbili au laki moja bado kama huna ni tatizo....unless kama ungetulaumu kwa kutotunza akiba kipindi cha chuo ukipata boom,

Tuna idea nzuri pengine kushinda zako, na hatukatai kujiajiri, lakini kwa mazingira ya Tanzania ambako Familia nyingi hazina background support kifedha, inakua tatizo kidogo.....
 
Mkuu huo ni ushauri tu na ni hiari kuufuata au kuuacha. Sijasema popote kwamba idea yangu ni nzuri kuliko yako!
nyie endeleeni tu kukaa kwa ndugu/wazazi mkisubiri ajira ili muweze kujiajiri. Msipo a ajiriwa kabisa endeleeni tu kukaa kwa wazazi/ndugu mpaka mvi ziwatokee hapopo. Life is all about choice! No one can choose for you!
 
.......Unajua mda mwingine sijui tuseme vituko

unakuta profesa. Waziri. Katibu mkuu. Dr. Mkurugenzi... Anasema graduates acheni mawazo potofu ya kuajiriwa.. Jiajiriri Ajira ni chache.... Dahhhh kauli inauma hii

cha kushangaza..

Wao hawajawahi kufikiria kujiajiri

watoto wao hawajawahi kuwahimiza wajiajiri japo wana mitaji ya uhakika kabisaaa

kwamba ni ngumu kukuta mtoto wa kigogo kakosa kazi.. Kumbe ajira zipo asehhhh....

Kwamba ikitokea ajira zimetangazwa ndo kwanza anatafutwa mtoto wa mjomba wa shangaz wa kaka.. Abandikwe ili mradi tu mtoto wa mkulima akose kazi.. Rejea sakata la uhamiaji

JAMANI... WANATANGAZA AMANI HUKU NYUMA WAMESHIKA MAPANGA HII SYO FAIR KABISAA

KWAMBA ajira ni chache wanatuhimiza vijana wa wakulima tujiajiri ilihali wanajua fika kuwa hatuna mitaji wakati watoto wao ambao wana uhakika wa mtaji hawawez kujiajiri..

kana kwmba haitoshi ht kile kidogo kinachotengwa kuwawezesha vijana wajiajiri watu wanagawana

inauma sana.. Lengo si uchochezi ila ni kueleza hali halisi. Au nimeongopa?????

na hata kujiuzuru hayataki pindi yakikosea
 
Mkuu mara nyingi sana sisi watz na waafrika kwa ujumla, Neno 'SINA MTAJI" ndio excuse kubwa ya kuhalalisha umasikini wetu. Mimi napingana kabisa na excuse hii. TATIZO LETU KUBWA ni kukosa LENGO na NJIA (plan) pamoja na UTASHI wa kufikia Lengo Hilo.
Hebu fikiria, Leo ni jumapili. Je, kuanzia j3 hadi jumamosi umetumia kiasi gani cha fedha kwenye matumizi yako ya kawaida? fedha umetoa wapi?? Huko huko ulikotoa fedha uliyotumia kuanzia jumatatu hadi leo, ndio kwenye mtaji wako, haijalishi ni kiasi kidogo kiasi gani! Wakati nasomea degree yangu ya Business Administration, mwalimu wangu alinifudisha strategy ya kuanzisha biashara ni hii "start small, think big"

Leo ni miaka mingapi tangu uhuru (wadigitali ukiwemo wewe,,, uhuru ni mwaka 1985).?? Thegame mko wangapi, mliopitia njia kama yako??? Mkifika robo tu ya jumla ya vijana wote kwa sensa ya 2012 KWA KUZIONEA HURUMA FIKRA ZAKO FINYU, NDIO NTAKUUNGA MKONO!!!! Mlipaswa kuwa mamilioni Wewe Thegame kwa nini ulianza kuajiriwa ndo ukajiajiri???? Yaani ukatamaniiiiiiiiii..... ukapata ukaonja kwanzaaaaaaa........ ukagundua ukakimbiaaaaaa......... Sasa umefanikiwa kutoroka ulikokimbia kwa msaada wa mbio zako umeanza kupondaaaaaa........ Unajiona wewe ndio kipimo na kutaka kuwaaminisha wooote "wanaotamani na kutaka kuajiriwa tu" kuwa watapotea, wajiajiri, mawazo yao ni ya kimaskini, kiasi walichotumia kwa wiki nzima badala ya kutunza kwa ajili ya mitaji ni ujinga/upumbavu wao, wana matumizi yasiyo ya lazima, maneno mengi kama wale wanaojiita PUBLIC SPEAKERS, ENTERPRENEURSHIP TRAINERS. Wewe kama malengo yako unataka nyumba kubwa ya kuishi.... pengine ya kutosha Tembo 200, Wengine wanataka kibanda cha kusha kuku 10 tu na yeye analala humohumo (HAYATI MWALIMU NYERERE)!!!. Aliwahi kusema kama wewe, fanyeni kazi zooote msikimbilie IKULU ni mzigo! watu wameacha kuitazama IKULU??????? leo hii watu wanauana na kutumia pesa hiyohiyo aweze kuingia IKULU. USINILETEE NUKUU ZA MNAOWAITA WANAFALSAFA SIJUI, GREAT THINKERS, NA MAKANJANJA KAMA HAO. WALISHASHINDWA KITAAAAMBO, TENA WATU WASIO NA ELIMU HATA YA DARASA 1. NGUVU YA MANENO YAO ITAWAINGIA WAPUMBAVU TU, KICHWANI MWANGU ITAAELEA KAMA BOYA BAHARINI. Watu wanaatajirika kwa kuwafundisha.... yaani kusimama na kuongea kwa watu mbinu za kuwamatajiri na kupata pesa kirahisi?????......:flame::flame::flame::flame:
 
Mmmmh!!! Acha kunilisha maneno ambayo sijayaongea wewe! Wapi nimesema vijana wasiajiriwe! Wapi nimeponda ajira??? Unajua kusoma kweli?
 
Hapa ni vigumu sana watu kuelewa ila ukweli utabakia ukweli Daima. kama viongozi hawajajiajiri na wanakuambia ujiajiri si sababu ya kukataa kisa wao wameajiriwa. Katika Dunia hii uko peke yako that is why hata ukifa utazikwa mwenyewe.

Tumekuwa tukitumia Ukosefu wa Mitaji kama Ngao. ni kweli kuna tatizo la mitaji but sio kwamba ndo iwe sababu kuu. Wengi wetu wana lilia wamekosa mitaj8 ikiwaambia waje na Idea zao watakuja na Idea za ajabu mpaka ushangae.

ili uweze kujiajiri unatakiwa kuwa Commitment. huo ndo mataji mkubwa kabisa. ukiamua utaweza ukiamua.

Wengi wetu tunaona Aibu na hii ni kwa sababu ya matarajio makubwa tuliokuwa nayo tukiwa vyuoni.
.Tukikaa kusubiria sijui mifumo inadilike tutasubili sana tena mno, kilichopo wewe ni kuanza na ulicho nacho na hakuna mtaji maalumu wa kuanzisha biashara. ila kama huna dhamira utabakia kusema mtaji hakuna.
 
Mmmmh!!! Acha kunilisha maneno ambayo sijayaongea wewe! Wapi nimesema vijana wasiajiriwe! Wapi nimeponda ajira??? Unajua kusoma kweli?

Mkuu hapa hakuna atakaye kuelewa, hili ni tatizo la wengi hapa unaweza bishana hadi mwisho wa Dunia, ila ukweli ndo huo kwamba unahitaji Dhamira ili uweze kujiajiri, unahitaji kuwa na sprit ya ujasirimali kama hakuna ndo ishu ya kusingizia mitaji na mfumo uliopo.

Tutalaumu hadi wazazi, mabenki, mfumo na kazalika ila ukweli ni kwamba hatua unazo mwenyewe,
 
Mkuu huo ni ushauri tu na ni hiari kuufuata au kuuacha. Sijasema popote kwamba idea yangu ni nzuri kuliko yako!
nyie endeleeni tu kukaa kwa ndugu/wazazi mkisubiri ajira ili muweze kujiajiri. Msipo a ajiriwa kabisa endeleeni tu kukaa kwa wazazi/ndugu mpaka mvi ziwatokee hapopo. Life is all about choice! No one can choose for you!

Tunakaa kwa plan, tupate ajira kama wewe ulivyopata, then tuamue kufanya biashara au kutofanya mkuu.......
 
Back
Top Bottom