Wanasema tujiajiri wao mbona hawajiajiri?

Peter Madukwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
3,142
Reaction score
2,501
.......Unajua mda mwingine sijui tuseme vituko

unakuta profesa. Waziri. Katibu mkuu. Dr. Mkurugenzi... Anasema graduates acheni mawazo potofu ya kuajiriwa.. Jiajiriri Ajira ni chache.... Dahhhh kauli inauma hii

cha kushangaza..

Wao hawajawahi kufikiria kujiajiri

watoto wao hawajawahi kuwahimiza wajiajiri japo wana mitaji ya uhakika kabisaaa

kwamba ni ngumu kukuta mtoto wa kigogo kakosa kazi.. Kumbe ajira zipo asehhhh....

Kwamba ikitokea ajira zimetangazwa ndo kwanza anatafutwa mtoto wa mjomba wa shangaz wa kaka.. Abandikwe ili mradi tu mtoto wa mkulima akose kazi.. Rejea sakata la uhamiaji

JAMANI... WANATANGAZA AMANI HUKU NYUMA WAMESHIKA MAPANGA HII SYO FAIR KABISAA

KWAMBA ajira ni chache wanatuhimiza vijana wa wakulima tujiajiri ilihali wanajua fika kuwa hatuna mitaji wakati watoto wao ambao wana uhakika wa mtaji hawawez kujiajiri..

kana kwmba haitoshi ht kile kidogo kinachotengwa kuwawezesha vijana wajiajiri watu wanagawana

inauma sana.. Lengo si uchochezi ila ni kueleza hali halisi. Au nimeongopa?????
 
wengine naona wamejiajiri ktk siasa, na mara nyingi mwenye shibe hamjui mwenye njaa..
 
ni kumuomba tu MUNGU, ndo kilichobaki yeye pekee atutetee, anasema ktk neno lake kwamba ni yeye ameishika kura yetu...
 
Mimi binafsi naamini katika kujiajiri! Nilipo maliza chuo niliona kuajiriwa ndio njia rahisi ya kupata maisha niliyokuwa najiwazia. Lakini nilipokuwa nimeajiriwa nilijikuta natumia muda wangu mwingi kuineemesha taasisi niliyokuwa naifanyia kazi huku kipato kikiwa kidogo! Lakini nilipofanya uwekezaji mdogo tu Kariakoo na pale Temeke, hela ninayotengeneza kwa siku ningesubiri mishahara ya miezi miwili kuipata kama ningeng'ang'ania kubaki kule kwenye ajira!
sijajua sana mazingira uliyopo lakini kwangu mimi kujiajiri naona kunaelekea kunipeleka kule ninako taka kwenda muda mchache ujao!
 
Well said mkuu
 
Hata mimi huwa nashangaa sana utaona mtangazaji yupo amekazana anatupondea tunaotafuta ajira huwa natamani kuwauliza hivi wewe hicho kituo cha redio ni cha kwako???? Asilimia kubwa ya watu waliotoka kimaisha walianza na kuajiriwa kwa kutumia mishahara yao wakaanzisha biashara au kuanzisha makampuni yao....tusikatishane tamaa jamani
 
Watoe iyo mitaji ya kujiajiri kwa graduates wote kama wanavyotoa kwenye kusoma alaf waseme vijana tumeshindwa kujiajiri.
Elimu sikuiz imekua umaskin mtu ubasomeshwa kwa shida viwanja vinauzwa,mifugo,dhamani za ndani ili tu ada ilipwe mwisho wa cku unakuja junsliza chuo una deni kubwa la bidi ya mikopo na deni la familia kurudisha mali iliyouzwa ili usome. Mwisho wa cku unaishia mtaani huna ajira
 
Mimi binafsi naamini katika kujiajiri! Nilipo maliza chuo niliona kuajiriwa ndio njia rahisi ya kupata maisha niliyokuwa najiwazia. Lakini nilipokuwa nimeajiriwa nilijikuta natumia muda wangu mwingi kuineemesha taasisi niliyokuwa naifanyia kazi huku kipato kikiwa kidogo! Lakini nilipofanya uwekezaji mdogo tu Kariakoo na pale Temeke, hela ninayotengeneza kwa siku ningesubiri mishahara ya miezi miwili kuipata kama ningeng'ang'ania kubaki kule kwenye ajira!
sijajua sana mazingira uliyopo lakini kwangu mimi kujiajiri naona kunaelekea kunipeleka kule ninako taka kwenda muda mchache ujao!

Mkuu, kujiajiri ukiwa ushapata kazi ya kuajiriwa ni rahisi sana coz utakuwa unaweka akiba kidogo kidogo kugenerate mtaji, tofauti hapa ni kuwa huyu graduate hana mtaji kabisa na ndio anaambiwa ajiajiri
 
  • Thanks
Reactions: hbi
Hata mimi huwa nashangaa sana utaona mtangazaji yupo amekazana anatupondea tunaotafuta ajira huwa natamani kuwauliza hivi wewe hicho kituo cha redio ni cha kwako???? Asilimia kubwa ya watu waliotoka kimaisha walianza na kuajiriwa kwa kutumia mishahara yao wakaanzisha biashara au kuanzisha makampuni yao....tusikatishane tamaa jamani

Umeyaongea mawazo yangu, big LIKE na huo ndio ukweli, utajiajiri vipi huna mtaji...?
 
Wanataka eti tukapige debe,tuokote makopo,tukaoshe vyombo kwa mama ntilie na kuuza kandoro kwenye foleni za magari mweeh as if wao wanaweza kufanya hayo
 
we ukiajiriwa utaacha kuchomeka ndugu zako? au unaongea tu.
 
Mimi binafsi naamini katika kujiajiri! Nilipo maliza chuo niliona kuajiriwa ndio njia rahisi ya kupata maisha niliyokuwa najiwazia. Lakini nilipokuwa nimeajiriwa nilijikuta natumia muda wangu mwingi kuineemesha taasisi niliyokuwa naifanyia kazi huku kipato kikiwa kidogo! Lakini nilipofanya uwekezaji mdogo tu Kariakoo na pale Temeke, hela ninayotengeneza kwa siku ningesubiri mishahara ya miezi miwili kuipata kama ningeng'ang'ania kubaki kule kwenye ajira!
sijajua sana mazingira uliyopo lakini kwangu mimi kujiajiri naona kunaelekea kunipeleka kule ninako taka kwenda muda mchache ujao!

Mjomba hakuna anayeponda kujiajiri

jambo la.msingi ni kuwa je.. Wanataka tujiajiri bila mazingira wezeshi???? Ni kweli ht ukiajiriwa jiajiri pia ili uweze kutoka kimaisha
 
Yeye mwenyewe alianza kwa kuajiriwa ndipo akajiajiri ila sisi wanatusisitiza eti tujiajiri mikono mitupu
 
Hapo sasa... Anazingua jamaa...

Ujue ht kukopesheka wanasema hatukopesheki.... Sasa sijui jamaa anataka watu wakaokote mitaji
 
Mkuu ebu dokeza kidogo mana nafutalia swala la kuleta miwa toka MORO ila nna mashaka kdg ww umewekeza nn?
Mimi binafsi naamini katika kujiajiri! Nilipo maliza chuo niliona kuajiriwa ndio njia rahisi ya kupata maisha niliyokuwa najiwazia. Lakini nilipokuwa nimeajiriwa nilijikuta natumia muda wangu mwingi kuineemesha taasisi niliyokuwa naifanyia kazi huku kipato kikiwa kidogo! Lakini nilipofanya uwekezaji mdogo tu Kariakoo na pale Temeke, hela ninayotengeneza kwa siku ningesubiri mishahara ya miezi miwili kuipata kama ningeng'ang'ania kubaki kule kwenye ajira!
sijajua sana mazingira uliyopo lakini kwangu mimi kujiajiri naona kunaelekea kunipeleka kule ninako taka kwenda muda mchache ujao!
 
Umeyaongea mawazo yangu, big LIKE na huo ndio ukweli, utajiajiri vipi huna mtaji...?

Mkuu mara nyingi sana sisi watz na waafrika kwa ujumla, Neno 'SINA MTAJI" ndio excuse kubwa ya kuhalalisha umasikini wetu. Mimi napingana kabisa na excuse hii. TATIZO LETU KUBWA ni kukosa LENGO na NJIA (plan) pamoja na UTASHI wa kufikia Lengo Hilo.
Hebu fikiria, Leo ni jumapili. Je, kuanzia j3 hadi jumamosi umetumia kiasi gani cha fedha kwenye matumizi yako ya kawaida? fedha umetoa wapi?? Huko huko ulikotoa fedha uliyotumia kuanzia jumatatu hadi leo, ndio kwenye mtaji wako, haijalishi ni kiasi kidogo kiasi gani! Wakati nasomea degree yangu ya Business Administration, mwalimu wangu alinifudisha strategy ya kuanzisha biashara ni hii "start small, think big"
 
Back
Top Bottom