Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,540
- 34,864
Labda wenye akili ndogo..😂😂hivi kuna mwanaume atakunywa kansa hizo?
Labda wenye akili ndogo..😂😂hivi kuna mwanaume atakunywa kansa hizo?
Mtego mwingine huo. Hata kwa bahati mbaya au kwakutumwa sitauingia- Prof. Kabudi Majalala (Bungeni 2015-2020)
Sasa Mimi Nina watoto 6 bado natafuta nini? Walete tumalizane na wadangaji wanaotusingiIa mimba Kila uchao. Kabla hujagonga unamwambia kabisa nimekula Pills.Mdogo mdogo wanataka kutuhasi sio, wamewakorokocha wanawake zetu wameona haitoshi, wamerudi kwetu, pumbavu zao!!
Sasa Mimi Nina watoto 6 bado natafuta nini? Walete tumalizane na wadangaji wanaotusingiIa mimba Kila uchao. Kabla hujagonga unamwambia kabisa nimekula Pills.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Kusema ukweli tatzo la watoto wa mitaan na uzazi usio na mpango wa kuudhibiti ni mwanaume! Ndiye mwenye turufu kubwa. Sema bas hatutak kuwajibika.
Pia hatuko tayar kurisk nguvu zetu za kiume kwa hiz njia za kisayansi tusizoaminiana. Kama ambavyo hatuziamin pia dhidi ya wanawake.
Kuzaa sawa ili kuendeleza jamii. Pia kupata nguvu kazi. Lakin hoja hapa ni kuzaa kwa malengo! Watoto weng ni matokeo ya mimba zisizotarajiwa!la msingi nikutilia mkazo watu kubeba majukumu na kulea watoto wao, iwe Baba au Mama...tunatakiwa kuzaa..
Hata Japan wako hatarini zaidi, karibu wote wana miaka 90+, vijana ni wachache mno na wako busy na kazi kiasi hawana muda wa kuzaa na kulea, wamebaki kufuga mbwa tu mdaniWanaume tunataka watoto tu, hapa nimeanza tu safari nina watoto wanne, uchoyo wa watu wa Ulaya kuzaa, kumewafanya watu weupe kuwa hatarini kutoweka miaka ijayo, maana waarabu walioenda ulaya ndio wanazaa na kushika ofisi nyingi ambazo zimekosa watenda kazi kwa sababu ya kupungua nguvu kazi. TUZAE NA TULEE JAMANI.
Wana akili sasa wale?Mbona wanawake wanakunywa?
Kama kwenye chanjo ya Corona, wamenunua kwa pesa kibao, halafu kwenye kunywa wote tunasakiaziana , matangazo redioni na T.V ila wapi, hadi zime-expire, tukala hasaraNa serikali ilivyo utashangaa wanavileta 🤣
Kitaumana kwenye kunywa Sasa nani anywe?
Nafikiri serikali imeshajua saikolojia ya watu wake najua hawataacha kuleta ila nachowaomba walete kiduchu tu maana wakileta zigo kubwa watakunywa wao mpk wakija kuyamaliza watakuwa wamepata wanachokitaka!.Kama kwenye chanjo ya Corona, wamenunua kwa pesa kibao, halafu kwenye kunywa wote tunasakiaziana , matangazo redioni na T.V ila wapi, hadi zime-expire, tukala hasara
Hawa wazungu lazima watuwekee kwenye Pombe, kama walivyofanya makaburu wa SA ili kucontrol population, naacha pombe kabisaNafikiri serikali imeshajua saikolojia ya watu wake najua hawataacha kuleta ila nachowaomba walete kiduchu tu maana wakileta zigo kubwa watakunywa wao mpk wakija kuyamaliza watakuwa wamepata wanachokitaka!.
Aisee!Hawa wazungu lazima watuwekee kwenye Pombe, kama walivyofanya makaburu wa SA ili kucontrol population, naacha pombe kabisa