Yule msemaji wa Polisi,
Mara anasema majambazi hawajapora kitu, mara anasema kuwa wamepora bunduki mbili.
Polisi acheni siasa, fanyeni kazi, hii kazi ya usalama wa watu na mali zao inawashinda kwa ajili ya kujipendekeza kwa CCM.
Huyu CP NSATO, anajaribu kulihusisha tukio la kuuwawa kwa polisi na Operesheni UKUTA, hili halitakiwi kuwa tamko ya Polisi aliyesomea Intelligency, bali ilikuwa kazi ya propagandist wa CCM!
Akiongea kiongozi wa Polisi, na akiongea msemaji wa CCM, maneno ni yale yale!
Jirekebisheni!