Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
Ni vizuri uka koselewa kupitia weakness zako ukajipima na kujirekebisha,ndio mana kuna sanduku la Maoni hata mortuary .
Police inaposemwa vibaya au vizuri ni jukumu Lao kuchukua mazuri as motivation na Mabaya Kama changamoto,ili wayafanyie kazi kisawasawa for a better police force.
Sasa wao Kama wanataka kusemwa tu vizuri watazijuaje weakness zao .