tethering
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 331
- 139
hayo ni maneno ya wazir wa mambo ya ndani..mh Mwigulu kuwa kwa wale wote watakaoonyesha kufurahia jambo hili wataitwa kwenye vyombo vya sheria kujieleza..
my take,kabla ya kuwapeleka kwenye vyombo vya sheria kujieleza...kwa nn serikali isijiulize kwa nn imefikia hatua mpaka polisi kuuwawa wananchi wanashangilia..nn tatizo mpaka inatokea hivi??
Najiuliza swali namna ya kuwapata coz ID feki ndo kanuni za jf, mtu alienda internet cafe ndo akaandika maoni yake ambayo hayakuifurahisha serikali na akaunt iliyotumika asiitumie tena, watampataje?