Wanaovua viatu misikitini ni masikini

Wanaovua viatu misikitini ni masikini

Huo labda msikiti wa kihistoria hautumiki kuswalia tena, naona yupo na mwanamke kabisa
 
Mimi nimeishi mita chache kutoka msikiti huu, kwa zaidi ya miaka 25 tangu unajengwa huu msikiti ni mkubwa wa kifahari ila umejengwa sababu ya watalii na imetengwa sehemu kwa ajili ya kusali hapo mtu yoyote hata mtalii haingii na viatu au bila viatu ila sehemu kubwa ni la utalii jaribuni kusoma na kuelewa sio kuja kupiga kelele na magovi yenu
Hivi umesoma vizuri ulichokiandika!
 
Kweli kabisa kama ilivyo upande wa pili wanasema ikiwa hulipi kodi ya jumuiya ndogondogo, kodi ya kanisa au ukiwa huhudhurii huko basi ukifa hawakuziki.
Lakini sasa ukiwa tajiri hata kama hufanyi lolote kati ya hayo, ukifa wanajipendekeza kukufanyia ibada kadri familia itakavyotaka 😄😄

Hizi dini tulipigwa nawaambia
Achana na dini,deal na Yesu aliye Njia,Kweli na Uzima
 
Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi.

Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi kumwingiza msikitini na viatu. Kumbuka hata Papa anazama (ga) msikiti na shoes zake bila wasiwasi.

View attachment 3334936
Mwanazuoni vipi tena huna details? Umekuja na mada kwakukurupuka?
 
Mimi nimeishi mita chache kutoka msikiti huu, kwa zaidi ya miaka 25 tangu unajengwa huu msikiti ni mkubwa wa kifahari ila umejengwa sababu ya watalii na imetengwa sehemu kwa ajili ya kusali hapo mtu yoyote hata mtalii haingii na viatu au bila viatu ila sehemu kubwa ni la utalii jaribuni kusoma na kuelewa sio kuja kupiga kelele na magovi yenu
Mkuu magovi yameingiaje tena ..
Mbona ni wakorofi nyie
 
Hata wenyeji wake pia hawajavua viatu maana yake yupo eneo linaloruhusiwa kuvaa viatu
Yaan unatoa comment fupi ila ina maana na mantiki sana hi si mara ya kwanza nakufatilia we jamaa

Salute kwako mkuu
 
Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi.

Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi kumwingiza msikitini na viatu. Kumbuka hata Papa anazama (ga) msikiti na shoes zake bila wasiwasi.

View attachment 3334936
Zuria liheshimiwe😂😂😂
 
Back
Top Bottom