dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,912
- 3,462
Sasa soksi ndo viatu,Kavaa soksi
Unapenda saana kuukashifu uislamu, unalolitafuta utalipata soon,
Sasa soksi ndo viatu,Kavaa soksi
Kwani mi ndo mtoa mada? Nitafutie sehemu niliyosema kavaa viatu.Sasa soksi ndo viatu,
Unapenda saana kuukashifu uislamu, unalolitafuta utalipata soon,
Watu wengi kitu ambacho hawakifahamu ni kwamba, kipindi uislam unaingia kwa maana kipindi ambacho Mtume mwenye alikuwepo hapa duniani, watu walikuwa wanaingia na viatu msikitini, kwasababu kipindi kile mazingira ya msikiti siyo kama sasa, msikitini palikuwa ni jengo tu lenye michanga,udongo na mavumbi n.k, kwahyo ilikuwa ni ruhusa kuingia na viatu msikitini.Kuna jamaa yangu aliniambia viatu havikatazwi lkn viwe simple vinavyoweza kukunjika.
Ila kwa mafundisho ya huku ukifanya hivyo unaweza kujikuta umezungukwa na bikra 72 bila kutarajia.
Hivi ndio vitu tunataka kusikia lakini watu wamekuwa wanabwabwaja TU bila shuleWatu wengi kitu ambacho hawakifahamu ni kwamba, kipindi uislam unaingia kwa maana kipindi ambacho Mtume mwenye alikuwepo hapa duniani, watu walikuwa wanaingia na viatu msikitini, kwasababu kipindi kile mazingira ya msikiti siyo kama sasa, msikitini palikuwa ni jengo tu lenye michanga,udongo na mavumbi n.k, kwahyo ilikuwa ni ruhusa kuingia na viatu msikitini.
Ila baada ya maendeleo mbalimbali na mazingira ya msikitini kufanywa pasafi, watu wakaona siyo busara kuingia msikitini na viatu, ukizingatia ibada zetu waislam tunafanyia chini, tunasujud, tunakaa n.k na wakati huo huo mtu anatoka safari zake amekanyaga vitu vichafu na mengineyo yafananayo na hayo.
Hata hizi kesi za waislam wa kipindi hiki , tena hapa Tanzania especially wale wenye misimamo mikali wamejaribu kuingia mara kwa mara msikitini na viatu, kwa vigezo Mtume na Maswaaba zake waliingia na viatu pia, lakini watu wanaelimishwa kuhusu enzi za Mtume , na hali ya msikitini na mazingira ya kipindi hicho na kipindi hiki cha sasa.
KWA KIFUPI, KUTOINGIA MSIKITINI NA VIATU, NI BUSARA AMBAYO WAISLAM WOTE DUNIANI TUMEKUBALIANA KUIFATA NA KWASASA LIMEKUWA KAMA JAMBO LA LAZIMA, LAKINI HAKUNA DHAMBI KUINGIA MASJI NA VIATU.
Labda huko uliko.Popote pale kama ulikuwa hutoa michango ukifa au kufiwa utaambiwa utoe michango (watakadiria) ukitoa huduma zote zinarejea kama kawaida.
Hivyo unaweza kuwa maskini ndg zako wakachanga na kutoa huku wakikuombea msamaha kwa wana jumuiya na wakikubali tu basi imeishaa
mkuu hapa umedanganya ...standard ya uislam haibadiliki...hamna mtu anyeruhusiwa kukanyaga eneo la kufanyia ibada akiwa na viatu...angalia video kuanzia sekunde 0 mpaka dk 1.00 hawajavaa viatu wote...kuanzia dk 1.21 wote wamevaa viatu...means hapo eneo ambalo halifanyiwi ibada..Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi.
Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi kumwingiza msikitini na viatu. Kumbuka hata Papa anazama (ga) msikiti na shoes zake bila wasiwasi.
View attachment 3334936
telegrafi.com
Nan kakwambia Hairuhusiwi kuingia misikitini na viatu ?mkuu hapa umedanganya ...standard ya uislam haibadiliki...hamna mtu anyeruhusiwa kukanyaga eneo la kufanyia ibada akiwa na viatu...angalia video kuanzia sekunde 0 mpaka dk 1.00 hawajavaa viatu wote...kuanzia dk 1.21 wote wamevaa viatu...means hapo eneo ambalo halifanyiwi ibada
we ni mjinga mkuu.......Nan kakwambia Hairuhusiwi kuingia misikitini na viatu ?
Shida hamna elimu ,mtume mwenyewe alikuwa anaswali na makobazi
Hadith inayoruhusu kuvaa viatu wakati wa kuswali:
Imepokewa na Abu Sa’id al-Khudri (RA)
"Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) alikuwa akiswali akiwa amevaa viatu vyake."
(Imepokewa na Abu Dawood, Hadith 652)
Pia Mtume (SAW) alisema
"Tofautisheni swala zenu na za Mayahudi. Kwa hakika wao hawaswali wakiwa wamevaa viatu au khuff (buti)."
(Imepokewa na Abu Dawood, Hadith 652, na Ahmad)
Kwasababu Wayahudi walikuwa hawavai viatu wakiwa kwenye ibada, Mtume alihimiza Waislamu waswali nao wakiwa wamevaa viatu
telegrafi.com
Endelea na propagandawe ni mjinga mkuu....
![]()
Trump praises Islam's 'incredible culture' as he takes off his shoes and makes a rare presidential visit to a mosque in Abu Dhabi
President Trump kicked off his shoes on Monday to take in the splendor of the largest mosque in the United Arab Emirates — a rare visit by a U.S. chief executive to a Muslim house of worship overseas. “It’s so beautiful,” Trump said, wearing socks as a sign of respect, the newspaper...telegrafi.com
angalia video vizuri uache upopoma......usifikiri kila muda ni muda wa kueneza chuki dhidi ya imani nyingineEndelea na propaganda
Hata katika imeandikwa,sikumbuki kifungu,lkn kinasema vueni viatu hapa maana ni mahali patakatifu!!!, Sasa nyie endeleeni kuingia na viatu kanisani,shauri yenu.Kwani sababu ya kuvua viatu huwa ni Nini?
Maelezo yakishakuwa meeeeeeeengi ujue ni uongo mtupu...Naona watu wengi hawana uelewa juu ya msikiti huu hususani mleta mada na wengineo.
Huu msikiti kwa asilimia kubwa hutumika kama sehemu ya Utalii. Hata katika vivutio vyao vya Utalii huu msikiti upo.
Ipo sehemu iliyotengwa maalum kwaajili ya kufanyia ibada na sehemu hii huwezi kuingia na viatu ni maalum kwaajili ya ibada tu, na ndio imebeba asilimia ndogo sana kulinganisha na ukubwa wa msikiti.
Msikiti huu hutumika kama kivutio Cha watalii, kuonesha sanaa za maonesho ya kiutamaduni. Watu huruhusiwa kuingia kupiga picha n.k
Na wageni wa jinsia zote wanaruhusiwa kuingia na viatu sehemu zote za maonesho na kutalii isipokuwa ile sehemu iliyotengwa maalum kwaajili ya ibada.
Unaweza pia kuingia google uthibitishe mwenyewe.