Wanaovua viatu misikitini ni masikini

Wanaovua viatu misikitini ni masikini

Kwani sababu ya kuvua viatu huwa ni Nini?

Exodus 3:5 (KJV):
“And He said, Draw not nigh hither: put off thy shoes from off thy feet, for the place whereon thou standest is holy ground

Surah Taha (20:12):
“Indeed, I am your Lord. So remove your sandals. Indeed, you are in the sacred valley of Tuwa.”
 
Biblia hakuna mahali imeagiza tuvue viatu

Waislamu mnaipenda biblia ila haiwapendi
Hatufuati biblia ila nimememonyesha sababu ya sisi kuvua viatu imeanzia mbali kuanzia Musa alipokaribia sehemu takatifu akamrishwa avue viatu, nyinyi hamna sehemu takatifu? Kama mnazo vueni viatu.

Exodus 3:5 (KJV):
“And He said, Draw not nigh hither: put off thy shoes from off thy feet, for the place whereon thou standest is holy ground
 
Hatufuati biblia ila nimememonyesha sababu ya sisi kuvua viatu imeanzia mbali kuanzia Musa alipokaribia sehemu takatifu akamrishwa avue viatu, nyinyi hamna sehemu takatifu? Kama mnazo vueni viatu.

Exodus 3:5 (KJV):
“And He said, Draw not nigh hither: put off thy shoes from off thy feet, for the place whereon thou standest is holy ground
Kakudanganya nani kwamba hilo tukio ni amri ya kuvua viatu ?
 
Musio tahiriwa muko busy kuukashf Uislam, lakini hamtaweza.
Nawashaurini mukatoe magovi hayo, ndio murudi hapa tujadili.
 
Wewe mbona sikuelewi unataka nini? Je Musa hajawahi kuambia avue viatu alipokwenda mlimani?
Kwahiyo hilo tukio ndio amri ?

Unaweza kuleta ushahidi hapa kabla ya Muhammad

Je Uislamu ulikuwepo kama mnavyodia ,je walikuwa wanasalije ?

Tuanzie hapo
 
Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi.

Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi kumwingiza msikitini na viatu. Kumbuka hata Papa anazama (ga) msikiti na shoes zake bila wasiwasi.

View attachment 3334936

USIJE NA POST ZAKO ZA MIHEMKO KAMA HUELEWI KI ENGLISH - Omba utafsiriwe!
Labda nikusaidie kidogo; Ule msikiti ni mkubwa sana na wa kisasa; una kumbi mbalimbali ukiwepo ukumbi mkubwa unaotumika kwenye mambo mbalimbali yakiwemo ya usuluhishi nk na ndio huo ukumbi Trump aliingia... japo msikiti wote ulisitisha shughuli za Ibada kwa sababu za kiusalama n
Tafuta mtu akutafisirie hapo chini;

Trump’s delegation then toured the mosque’s grand halls and ..

Read more at:
 
Kwahiyo hilo tukio ndio amri ?

Unaweza kuleta ushahidi hapa kabla ya Muhammad

Je Uislamu ulikuwepo kama mnavyodia ,je walikuwa wanasalije ?

Tuanzie hapo
Tukio Hilo maana yake ukiwa sehemu takatifu vua viatu, matokeo yake wewe sebuleni kwako unavua viatu ila kanisani unaingia na mavi chini ya soli.

Kwanza ili ujue Uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad Saw) au LA lazima ujue Uislam ni nini? Usipojua maana ya Uislam hutaelewa chochote nitakachosema.

Uislam ni Imani ya kuamini Mungu mmoja asiye na mashirika Sasa basi hayo mengine ya kam kuswali,kufunga kutoa sadaka yamenda yakibadilika kutokana na karne lakini msingi mkuu wa ibada ikiwa ni kusujudu Kwa kuweka paji LA uso chini, ambapo MANABII wote waliotangulia wamefanya ibada hizo Kwa maelekezo ya kipindi chao walichokuwepo
 
Kweli kabisa kama ilivyo upande wa pili wanasema ikiwa hulipi kodi ya jumuiya ndogondogo, kodi ya kanisa au ukiwa huhudhurii huko basi ukifa hawakuziki.
Lakini sasa ukiwa tajiri hata kama hufanyi lolote kati ya hayo, ukifa wanajipendekeza kukufanyia ibada kadri familia itakavyotaka 😄😄

Hizi dini tulipigwa nawaambia
Kuna namna
 
Kuvua viatu ni Bora zaidi kwani Mungu katuusia na kutufundisha adabu ya kumuomba na unyeyekevu.
 
Kuvua viatu ni Bora zaidi kwani Mungu katuusia na kutufundisha adabu ya kumuomba na unyeyekevu.
Unyenyekevu upo moyoni dogo. Hayo mengine ni mila na tamaduni tu za dini za wenye nazo
 
Back
Top Bottom