Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,087
- 3,916
Nakubaliana na wewe.Unyenyekevu upo moyoni dogo. Hayo mengine ni mila na tamaduni tu za dini za wenye nazo
Unakuta mtu anatawaza kisha anavua viatu anazama msikitini kuswali baada ya hapo kesho yake unamkuta kwa mchepuko.