Wanaovua viatu misikitini ni masikini

Wanaovua viatu misikitini ni masikini

Ati?

White Supremacy?

Hivi kati ya Trump na hao Masikini, nani Tajiri?

...tena kagaiwa na ndege juu!
 
Nifanye utafiti upi wakati mimi ni mrombo na nimeshuhudia? Akifa mtu mwenye hela familia wanapeleka hela padri anakuja fasta tena ataendesha mazishi kama vile naye ni sehemu ya familia
Popote pale kama ulikuwa hutoa michango ukifa au kufiwa utaambiwa utoe michango (watakadiria) ukitoa huduma zote zinarejea kama kawaida.

Hivyo unaweza kuwa maskini ndg zako wakachanga na kutoa huku wakikuombea msamaha kwa wana jumuiya na wakikubali tu basi imeishaa
 
Maana yake kinachohitajika ni maokoto tu.... Asante studio
 
Wakina mkojani wakiambiwa uislam ni zao la Roman Catholic wanaona kama wanatukanwa... Hizi dini za majahazi na ndege zina siri sana
 
Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi.

Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi kumwingiza msikitini na viatu. Kumbuka hata Papa anazama (ga) msikiti na shoes zake bila wasiwasi.

View attachment 3334936
Chuma hiki,huezi kukivulisha kiatu kibwegevwege
 
Hata wenyeji wake pia hawajavua viatu maana yake yupo eneo linaloruhusiwa kuvaa viatu
 
Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi.

Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi kumwingiza msikitini na viatu. Kumbuka hata Papa anazama (ga) msikiti na shoes zake bila wasiwasi.

View attachment 3334936
Mi mwenyewe nimeshangaa sana. Masjid unaweza tinga tu na viatu vyako.

Kweli Waarab waliwaweza wamatumbi😅😅😅
 
Back
Top Bottom