Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

Ningejua kuwa Maisha ni hivi, either nilivyomaliza lasaba ningeingia kitaa au walau ile form 4 tu yaani.
Huku kwingine I wasted my time kwa kweli.
Kuna watu bado wanawaza kupoteza hela na mda.

Mtaanii kuna CPA nying sana hskafu wengine wameajiriwa wanalipwa laki 7 sawa na wasio na CPA.

Jifunzeni uwekezaji mapema watu wengi siku hizi wanacheti kwa hio wala si tishio kwa waajili.
 
Ukiwa na degree ya IT, ukisoma CPA unaweza kuajiriwa kama mhasibu?

Ukiwa na degree ya IT una big chance ya kufanya vizuri kwenye Audit, sasa hivi kampuni nyingi zinajiendesha kwa system, hivyo zinahitaji system auditors.

Ukipata nafasi ya kufanya kazi audit firm (practice normal audit and system audit) ukafanya CISA na CPA, you will be the most sought kwa sababu utakuwa vizuri kwenye Audit hasa kwa Banks, Telecom na Insurance companies kwa sababu ziko so systemized.

All the best.
 
Kuna watu bado wanawaza kupoteza hela na mda.
Mtaanii kuna CPA nying sana hskafu wengine wameajiriwa wanalipwa laki 7 sawa na wasio na CPA.
Jifunzeni uwekezaji mapema watu wengi siku hizi wanacheti kwa hio wala si tishio kwa waajili.
Ni kweli ila pia siyo tu kuwa na cheti bali pia tunaongeza ujuzi kwenye sector ya uhasibu, mfano mimi chuo nimesomea Banking ila kazi nafanya kama mhasibu, kidogo vitu vingi vya kiuhasibu sikuvisoma ile deep, so kuamua Kusoma CPA najiongezea wigo zaidi and ofcourse naona kabisa vitu nnavovifanya ofisini ndiyo tunavofundishwa darasani so ni muhimu.

Pia kama unasema wengi wapo it means huko mbeleni wasio na CPA hawatokua na nafasi sana ya kupata kazi so bora kuwa CPA T ili kwenye hizo nafasi chache uwepo.pia Unaweza kujiajiri kwa kuanzisha Auditing firms, kuwa Tax consultant etc, Nadhani kusoma bado ni muhimu. Tupambane.
 
Kaxi ni connection na competence.
Mwenye sahifikdgi anaweza ajiriwa na CPA akabaki.

Kimlipa cerigicate ni rahisi kuliko CPA.
Competence haijengwi kwa vyeti tu bali jitihada afteral mitihani ya TZ huwa inatabirika hivyo kuifaulu si kwamba utakuwa competent kwa kiwango cha juu.

Ila yote na yote wahasibu wapo nyomi mtaani hivyo unatakiwa upambane sana.
 
Kuna watu bado wanawaza kupoteza hela na mda.
Mtaanii kuna CPA nying sana hskafu wengine wameajiriwa wanalipwa laki 7 sawa na wasio na CPA.
Jifunzeni uwekezaji mapema watu wengi siku hizi wanacheti kwa hio wala si tishio kwa waajili.

Watu wanapenda sana vyeti.

Ajira za maana kwa uhasibu wanapewa wale waliopitia big 4 auditing firms sababu wana uzoefu na kazi sana.

Na big 4 auditing firm zinaajiri wasio na cpa wanapomaliza vyuo tu kwa kigezo cha gpa kubwa za best students. Cpa wanawasomesha wao na sababu ni vichwa darasani na wanapewa mbinu na tution kazin kwao huwa wanazipata fasta hizo cpa.

Kwa mtu ambaye hajawai kuajiriwa big 4 cpa zama hizi haina msaada kwake kwenye kupata ajira yenye kipato kizuri
 
Tuwaache wasome tu mkuu hurnda wakajakuwa CAG.
Ila mi naona muhasibu aliehitumu asikazanie tu cpa bali awekez sana na teknolojia za mambo ya fedha na mambo ya data.
 
Back
Top Bottom