Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

Habari wakuu!

Kwa wanotaka kuanza kusoma na waliosoma CPA karibuni mtushauri lolote, kwanza kabisa nahitaji kufahamu,
1) Intake ni mara ngapi kwa mwaka, yaani unaweza anza mwezi gani? Now tunaingia mwezi June je intake nyingine inaanza lini?

2) Vigezo vya kuanza ni vipi? Najua kuna levels mfano foundation, intermediate na final, je kwanini wengine waanzie foundation level na wengine Intermediate?

3)Je kuna favor yoyote kwa mtu aliyesoma masomo yenye uhasibu kidogo mfano Finance, Banking nk?, je atafanya mitihani mingapi ya foundation?

4) Gharama zake zipoje hasa ?

5) Center ipi ni nzuri kwa Review Classes kwa Dar es salaam na hata kwa walioko mikoani nk?

Karibu mshare na sisi lolote kuhusu CPA wakuu ,tutaappreciate👏
Nilifiri unataka pindi, ningekuchapa pindi free kabisa uhakika wa kutoboa 100 ya 100.. Kijana wa hovyo hovyo CPA (T)
 
Back
Top Bottom