financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,144
- 40,723
- Thread starter
- #101
Yes ni nguvu na uwezo wako tu mkuu, ila kama upo kazini, au busy na issues nyingine na masomo 6 tena kidogo itakubidi uwe unalala na viatu maana si mchezo.Inawezekana kusoma masomo 6 na kufanikiwa???
Ila kuna wanaoweza and you could be among them mkuu