Wanaosali Jumuiya vs wacheza pool table, kuna tofauti?

Wanaosali Jumuiya vs wacheza pool table, kuna tofauti?

Mikutano ya mitaa/vijiji hamshiriki ila Jumuiya ndio muhimu zaidi huku kila siku tukilia umasikini.Tutafika?Kwanini hizi Jumuiya zisifanywe kimtaa wala mara moja kwa wiki kuliko kuzunguka nyumba hadi nyumba kila week-end?Tujali muda.
Ivi wewe una akili kweli jumuiya saa kumi nambili asubuhi saa moja isha isha hunimuda ulio utumia kuandika hii post tu.
 

Attachments

  • IMG_402704431134636.jpeg
    IMG_402704431134636.jpeg
    23.6 KB · Views: 27
umesahau na wale wanaoenda swala SAA 11, 7, 10 na SAA mbili ucku HAWA ndio wanapoteza muda rejea pwani ya bahari Hindi ni masikini wakutupwa mana muda wote wanawaza swalaaswaalaaa
 
Niambienii kuna nini cha maana tunacho-achieve kama jamiii ambacho bila kukaa katija hizo Jumuiya kingeshindikana?

Nijibuni sio kutoka povu.
mkuu kwenye sayansi jamii (sociology) kuna kitu kinaitwa peer group (sina jina la kiswahili) sehemu kama shule, mikusanyiko ya dini mbali mbali maadam imesajiliwa inaweza kumuondoa mtu kwenye mawazo ya kihalifu ....tofauti na michezo lama pool table ambayo mingine huwa ni kamari, looser pay, jirani ninapoishi kuna mtu aliuawa na kama binafsi umewahi kushiriki mchezo huu huwa unajaa lugha chafu na makelele pia ni genge ambalo linavutiavwatu kufanya mipango ambayo ni kinyume na sheria ama maadili.
 
Kwa akili hizi...ndipo linapokuja kuhitimishwa suala la luwasa ni asset au liability?..tokea kaingia huku akili zimeruka...hakika mbowe huku ndiko unataka bavicha na chadema ielekee...nilikuonya kwamba kuwatoa akili vijana kutawafanya wawe misukule...na sasa tunashuhudia mmomonyoko wa fikra kuanzia July,2015 umekuwa mkubwa chadema...Dr.Slaa tunakumbuka fikra na ueledi wako!
jibu hoja ,mbona unapiga porojo ?, hoja hii hausiana na vyama
 
Fahamu kuwa maisha yanahitaji vitu vingi na siyo uchumi tu. Sina muda wa kutosha kuandika ili nikuelimishe vizuri ila ninahakika ningekuonesha ulivyopotoka na baadae ukajiona wewe ni KIAZI tu.
umeongea point, hoja ipo hivi wacheza pool wanapigwa vita kwa kuwa hawazalishi , vipi wanaosali jumuiya je wanazalisha ?kwann nao wasipigwe vita ?
 
Ni kweli hizi jumuiya hata huwa nashindwa kuzielewa kabisa,mara sare/michango mashindano/kudamshwa asubuhi sana na unalazimishwa kabisa.Hizi hazina tofauti na UPATU kabisa.Mimi zitanishinda kwa hali hii.
 
Ni kweli hizi jumuiya hata huwa nashindwa kuzielewa kabisa,mara sare/michango mashindano/kudamshwa asubuhi sana na unalazimishwa kabisa.Hizi hazina tofauti na UPATU kabisa.Mimi zitanishinda kwa hali hii.
Eti usiposhiriki wanakususia ukipata msiba na matatizo mengine hata kama kanisani unaenda alafu eti watu wa aina hii ndio wanajdai wacha mungu!!
 
Vichaa wengi duniani huwa wanaanzaga kama huyu jamaa!amekula ameshiba anapost ujinga km huu,bora ungewaombea aman wanaouwawa vitani,wenye njaa,au nenda muhumbili wodi ya vichaa au watoto wenye utindio wa ubongo then utamheshimu Mungu na kumtafuta!
 
kama kweli uko serious hupendi jumuiya nenda kawaambie wanajumuiya yako. siku utakapopata shida yeyote kama kuugua au mazishi ndio utaelewa. wapo waliokuwa na misimamo mikali lkn walipokuwa wagonjwa mahututi walizitafuta hizo jumuiya kwa nguvu zooote. kama ulianzisha uzi huu huku umekunywa viroba basi Mungu na akusamehe
 
Salary slip. Akili yako haina tofauti na wale wadudu wanao tengeneza mipira kwa kutumia mavi.
Duh! Kule kukaya hao wadudu huwa tunawaita "Gipilingityamashi". Wana juhudi balaa na wanaweza ku-push zigo la mavi mpaka hata 6 times their body weight tena kupanda kilima. Mkuu umenichekesha sana!
 
Hivi hatuwezi kuishi pasipo kuwa na huu utaratibu wa kusali kwa jumuiya huku mitaani.Kusali makanisani hakutoshi mpaka tukutane kwenye majumba yetu siku za week-end na hata kila siku kwa baadhi ya maeneo kwa lengo tu la kusali kwa utaratibu huu wa Jumuiya?

Wanaocheza pool table wanatakiwa kukamatwa kwani wanapoteza muda wa kufanya kazi,je hawa wanaokutana saa 12 kila Jumamosi na kwa baadhi ya maeneo nasikia ni kila siku,huku si kupoteza muda wa kufanya kazi?

Hivi lengo la kusali Jumuiya si kukusanya sadaka tu?Nini kipya kinachofanyika katika hizi Jumuiya tofauti na makanisani kwetu?

Alafu hivi mtu unawezaje kushiriki kwenye Jumuiya hizi lakini ukashindwa kushiriki mikutano ya kijiji/mtaa kwa maendeleo ya kijiji/mtaa wako?

Kama hizi Jumuiya ni muhimu sana,kwanini adhabu hizi za kijamii tunazozitoa kwa watu wasioshiriki Jumuiya hizi pia tusizitoe kwa wale wasioshiriki mikutano ya maendeleo ya mitaa au vijiji vyetu kwani hata hii mikutano nayo ni muhimu pia?

Nyinyi mnaotetea Jumuiya hizi niambieni ni lini mlikutana katika Jumuiya zenu hizi na kisha mkaongozana huku mkiwa mbeba sadaka zenu na kwenda kuwahudumia wagonjwa au makelekezo sadaka zenu hizo kuhudumia yatima?

Utaratibu huu nimeuona hapa Dar leo hii nikakumbuka na huko mikoani hali ni hiyo hiyo hivyo nikajikuta najiuliza haya maswali.Alafu katika nchi za wenzetu mambo haya yanafanyika?Nina hakika miaka ijayo haya mambo yatakuja tu kutoweka maana sioni ulazima wake.
Kuna wanao takiwa kuswali mara 5 kwa siku. Ipo siku utasema ile swala ya lfajiri inakukera kwa kua inakuamsha usingizini. wewe ni mpu@z4 kama walivyo wapu#z% wengine, unapaswa kupuuzwa
 
Kuna wanao takiwa kuswali mara 5 kwa siku. Ipo siku utasema ile swala ya lfajiri inakukera kwa kua inakuamsha usingizini. wewe ni mpu@z4 kama walivyo wapu#z% wengine, unapaswa kupuuzwa
Wala usimfikishe huko mbali kwenye swala ya alfajiri. Atasema kuswali sala tano kwa siku ni kupoteza muda. Kama mhimili wa hoja yake ni kuwa hawa watu wa jumuia wanapoteza muda kwa kukutana one hour tena weekend, vipi wanaokutana 5 times per day every day? Kuna kitu watu wa jumuia wamemfanyia huyu japo anasita sita kukisema.
 
Mada mzuri mkuu ila tatizo wanaoenda jumuiya ni wavivu na wana IQ ndogo na ndio hawa wanaokushambulia hizo jumuiya zipigwe tu marufuku
Wewe jina na avatar yako vinakutambulisha kuwa ni mtoto wa Bi mdogo na ni wazi huwezi kusapoti jumuiya hata kidogo
 
Kamanda hapo umegusa pengine.nakuacha upigane peke yako.kama vipi kausha tu
Hivi hawa ndio makamanda huko kwenu? Mmekula hasara na ikulu mtaisikia miaka 800. Nyie mkipewa nchi mnaweza kufuta Uhuru wa kuabudu. Mkajipange upya
 
Ndg yangu mpe Mungu utukufu,acha kejeli za kulinganisha wacheza pool na wanaoenda kumwabudu Mungu mi nafikiri naona pepo la mpinga kristo limekuandama kuwa mwangalifu acha kabisa hicho ni kiburi cha uzima kinakusumbua we kama hutaki kusali jumuia si uache ukaendelee na mambo yako uone utafika wapi, Pia nakuomba sana usipende kuchanganya dini na siasa na hata kwenye Siasa hata ukiwa mpinzani haina maana kupinga kila kitu naona sasa unaelekea kubaya "JITAFAKALI"!!
 
Hakuna Mchadema zumbukuku kama huyu, huyu atakuwa mbangi kindakindaki. Tusubiri tu apelekwe rehab
Wanafiki wakubwa nyie na ndio mnaoogoza kwa uzinzi na uasherati.Mnajidai kuheshimu imani zenu wakati matendo yenu bora hata ya mpagani.

Nasisitiza hizi Jumuiya za kila Week-end kuzunguka kwa mtu mmoja mmoja na kuchangishana ni miradi tu ya kukusanya pesa huku watu wakilazimizhwa kushiriki hizi Jumuiya.

Wengi wanashiriki kwa kulazimika tu kutokana na mashariti mlioweka ambayo hata kwenye Biblia hayapo.

Fanyeni kazi na si kukutana huko kwa mara kwa mara kwa ajili ya Jumuiya hizo kuliko pitiliza.

Jumuiya hazitawafikisha mbinguni.

Toomuch of everything is harmful!
 
Back
Top Bottom